Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

SOLEMBA - NICO ZENGEKALA (RIP)

Solemba, Solembaa aah,................

Nilichomwa na jua toka asubuhi, mpaka saa nane Solemba, sababu ya kukungoja wewe, kumbe ulikuwa ndani solemba unachungulia dirishani...

Nimeshituka Solemba...........

(Na ndipo tulipopata nahau 'kaachwa solemba')
ungenieleza ukweli solemba
kuliko kunidanganya ooo
najuta kuitimiza ahadi ooh ambayo si ya kweli
nilikupenda kimapenzi solembaa
ila dharau uliweka mbele


nyimbo anaipenda sana mzee wangu
 
Zimetungwa nyimbo nyingi sana katika Kiswahili ambazo zimepewa majina ya kike. Karibu zote zinahusu mapenzi, manung'uniko ya mapenzi, furaha n.k Nyimbo hizo zimebakia katika mioyo ya watu wengi na kwa hakika vizazi vinakumbuka mengi wanaposikia nyimbo hizo. Lakini ni ipi tunaweza kusema ndiyo wimbo wenye chati ya juu kabisa katika nyimbo zenye majina ya kike?

Lakini kwanza, tukumbushane baadhi ya nyimbo hizo. Bendi na waimbaji mnawajua.. (Bluu unaweza kupakua)


Georgina -
Carolina - siyo hii ya ndombolo!
Clara -
Christina Moshi

Mayasa
Zuwena
Cinderella
Mwanameka
Maria (i love u)
Neema - huu yawezekana ni kati ya tatu bora
Monica
Sauda (M.V Mapenzi)
Tuma
Vicky
Solemba
Asha Mwana Seif
Hiba
Gloria
Siwema
Pamela
Aza
Latifa
 
Back
Top Bottom