Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Mwimbaji alikuwa Komandoo Hamza Kalala. Sina uhakika na bendi aliyokuwa wakati anaimba wimbo huu. Itakuwa kati ya Uda Jazz Band au kikundi chake cha Bantu Group.
Nakumbuka hiki kibwagizo, natumai wadau wengine watakuja na mashairi ya wimbo huu.
Nafikiri utakuwa ni huu.Nimekuwa nikitafuta wimbo zilipendwa unaitwa 'Roza' ama 'Mpenzi Roza' ulioimbwa na Tanga International. Cha ajabu nikiulizia huwa nakuta watu hawaufahamu. Niliwahi tembelea banda la TBC pale Mnazi Mmoja nikaiulizia hawakuufahamu. Wakati nausikiliza nadhani nilikuwa kwenye teens yaani late 70s ama early 80s. Nani anaweza kunisaidia nipate wimbo huu kwani wakati ule unapigwa niliupenda sana?
Nilikua na nakusubiri uweke maneno ya huo wimbo wa rainbow mbona kimya mtu wangu,yaani nina kiu ya ajabu ya hilo songiAliimba akiwa na Washirika Tanzania Stars 'Watunjatanjata" baadaye Wimbo huu ulirudiwa na mwanawe Komandoo aitwaye Kalala Junior
Mwanakijiji naomba offpoint kiduchu balatanda na babadesi Sikonge naombe mistari song moja .nilikumbwa na mikasa nikawa napenda kuliimba ila sijui heading wala mtunzi
"nimekusamehe lakini sitokusau visa ulivyonitendea mama ee eeh ulinikana wakati nilpokuwa na shida ukasahau yote nilokutenda wakati unaelewa hakuna komandoo wa shida "
Nilikua na nakusubiri uweke maneno ya huo wimbo wa rainbow mbona kimya mtu wangu,yaani nina kiu ya ajabu ya hilo songi
Mkulu,
Heshima Mbele!
Umenikumbusha 92' Hotel na akina Eddy Sheggy RIP.
Watu njat njata (Ushirika Tanzania Stars)
Mwanangu wewe mkali pia
Nakumbuka sigara zangu za mwanzo mwanzo!
Ha ha ha ha .......!!!!
Sasa enzi hizo hotel 92 wanapiga Njata na pale legho ikaanzishwa bendi ya kuitwa Legho star chini ya Asosa.
Hawa jamaa waliwahi kutamba na nyimbo kama Francisca na Leila...
Lakini leo ntawadokeza kuhusu francisca...
''jamani makubwa yamenipata eeh eeeh
Sijui nifanye nini francisca anielewe mamaa...Hata kama ni hasira jamani hizi zimezidi...
Mkimuona huko aliko mwambieni kweli natesekaa eeeh mamaa
Jamani francisca kumbuka utu wangu eeh
Mkulu,
Heshima Mbele!
Umenikumbusha 92' Hotel na akina Eddy Sheggy RIP.
Watu njat njata (Ushirika Tanzania Stars)
Mwanangu wewe mkali pia
Nakumbuka sigara zangu za mwanzo mwanzo!
Ha ha ha ha .......!!!!
This was late seventies/earlier eighties when I was a little kid!Nyimbo hizi ziko so emotional. They bring back those glorious, sweet memories of the past. They also remind me once again, that I should not take things for granted...if there is a possibility of doing anything to the best of my ability I should do so because after many years later, when they same issues come to the surface, I would cry either for joy or regrets of the way I handled matters at that particular time.Salama by Jabali la Muziki
Wapi salama, salama nakuomba
salama nakwita mamaa
umenipa machozi, machozi yasiyokwisha
nifanyeje mwana mamaa
nikilala naota sura yakoo
nikitembea nasikia waniitaa
nageuka sikuoni mwana mamaa
nauliza uko wapi mwana mamaa
Kiongozi,kwa kweli siukumbuki kabisa huu wimbo ninaoukumbuka ni ule wa Milima ya kwetu(walisema dalili ya mvua ni mawingu nilyempenda kanitoroka mama) ambao Eddy Sheggy aliuimba akiwa na Orch. Super Rainbow
Hivi hakuna wimbo wenye jina la Kristina?
Hapa kulikuwa na vichwa babaake...Komandoo Hamza Kalala,Eddy Sheggy(R.I.P),Adama Bakari 'Sauti ya Zege'(R.I.P),Mhina Panduka 'Toto Tundu',Emma Mkelo 'Lady Champion',Madaraka Morris,Robert Mabrish,mtaalam wa kinanda Abdul Salvador 'Father Kidevu' na wengine
Hawa jamaa walikuwa wakali bana..Sema ndo hivyo tena ilikufa na baadhi ya wanamuziki kwenda Bantu Group na Komandoo Hamza Kalala na wengine wakaenda kuanzisha bendi ya MCA International wana 'Munisandesa'
Sasa enzi hizo hotel 92 wanapiga Njata na pale legho ikaanzishwa bendi ya kuitwa Legho star chini ya Asosa.
Hawa jamaa waliwahi kutamba na nyimbo kama Francisca na Leila...
Lakini leo ntawadokeza kuhusu francisca...
''jamani makubwa yamenipata eeh eeeh
Sijui nifanye nini francisca anielewe mamaa...Hata kama ni hasira jamani hizi zimezidi...
Mkimuona huko aliko mwambieni kweli natesekaa eeeh mamaa
Jamani francisca kumbuka utu wangu eeh
-Ngalula-Marquiz....Mwingine ni Ngalula wa Remmy Ongala...Kumradhi kama ulishatajwa hapa....
-Ngalula-Marquiz
-Ngalula-Marquiz