Huyo hapo mmojaKumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu ametembea na mke wa mtu ni wendawazimu kuona adhabu inayomfaa ni "kumpaka mafuta"/ulawiti. Jambo la kusikitisha kuna raia wengi kwa maoni yao mtandaoni wanaona hili jambo stahiki kwa watu wanaochepuka na wanandoa wa watu wengine!
View attachment 3062353
Kwani hawa walilawiti mwanaume alitembea na mke wa mtu? Hawa walilawiti msichana alitembea na mume wa mtu, jambo ambalo hata mimi naliona ni baya. Lakini kulawiti mwanaume anayetembea na mke wa mtu hilo siyo jambo baya. Wewe unapokwenda kutembea na mke wa mtu unategemea nini? Hujui hata kuuawa ni mara moja? Kama mwanaume ana hiyo tabia ya kutembea na wake za watu basi kuna siku atapakwa mafuta au kuuawa.Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu ametembea na mke wa mtu ni wendawazimu kuona adhabu inayomfaa ni "kumpaka mafuta"/ulawiti. Jambo la kusikitisha kuna raia wengi kwa maoni yao mtandaoni wanaona hili jambo stahiki kwa watu wanaochepuka na wanandoa wa watu wengine!
View attachment 3062353
kudhibiti hii changamoto uliyoelezeaNini kifanyike kuhusu nini mkuu?
Kwa nini kumlawiti mwanamke aliyetembea na mume wa mtu ni jambo baya ila kumlawiti mwanaume aliyetembea na mke wa mtu sio jambo baya??Kwani hawa walilawiti mwanaume alitembea na mke wa mtu? Hawa walilawiti msichana alitembea na mume wa mtu, jambo ambalo hata mimi naliona ni baya. Lakini kulawiti mwanaume anayetembea na mke wa mtu hilo siyo jambo baya. Wewe unapokwenda kutembea na mke wa mtu unategemea nini? Hujui hata kuuawa ni mara moja? Kama mwanaume ana hiyo tabia ya kutembea na wake za watu basi kuna siku atapakwa mafuta au kuuawa.
kulawiti ni kufanyaje mkuuKwani hawa walilawiti mwanaume alitembea na mke wa mtu? Hawa walilawiti msichana alitembea na mume wa mtu, jambo ambalo hata mimi naliona ni baya. Lakini kulawiti mwanaume anayetembea na mke wa mtu hilo siyo jambo baya. Wewe unapokwenda kutembea na mke wa mtu unategemea nini? Hujui hata kuuawa ni mara moja? Kama mwanaume ana hiyo tabia ya kutembea na wake za watu basi kuna siku atapakwa mafuta au kuuawa.
Siwezi hata kidogo. Nitafanyaje huo uchafu wakati ukiwapa mateja fedha kidogo tu wanafanya? Au masela wa mtaani.Unawezaje kumlawiti mwanaume mwenzako kama wewe sio shoga?
Kwa sababu mwanaume anatongoza. Wewe unaona kabosa huyu ni mke wa mtu halafu unaleta ujinga wako, ni lazima ushughulikiwe.Kwa nini kumlawiti mwanamke aliyetembea na mume wa mtu ni jambo baya ila kumlawiti mwanaume aliyetembea na mke wa mtu sio jambo baya??
Una uhakika gani kama nilijua mke wako ni mke wa mtu?? Pia si anaweza kuwa mke wako lakini umeshamtoka moyoni au haumridhishi kabisa tena kimapenzi.Kwa sababu mwanaume anatongoza. Wewe unaona kabosa huyu ni mke wa mtu halafu unaleta ujinga wako, ni lazima ushughulikiwe.
Haya maswali utauliza wakati mjengele wa teja umepenya wote, mengine ni kupoteza muda tu.Una uhakika gani kama nilijua mke wako ni mke wa mtu?? Pia si anaweza kuwa mke wako lakini umeshamtoka moyoni au haumridhishi kabisa tena kimapenzi.
Utagongewa sana kwa staili hii,Kwa sababu mwanaume anatongoza. Wewe unaona kabosa huyu ni mke wa mtu halafu unaleta ujinga wako, ni lazima ushughulikiwe.
Mkuu, hili lipo tangu enzi za mababu, na hata mimi najua. Ila mada yako ilikuwa ni wewe kulaani mwanamme anayetembea na mke wa mtu kulawitiwa kama adhabu. Mimi nikasema kama ni mke wa mtu, basi jiandae kufanywa chochote siku ikijulikana. Na siyo wote wanachukuwa hatua ya kulawiti. Wengine wanaweza kukuachia mke mazima. Wngine wanaweza kusamehe. Wengine wanaweza kuua. My point ni kuwa ukitembea wa mke wa mtu basi jiandae kwa lolote na huna haki ya kumpangia mwenye mke achukuwe hatua gani kama unavyojaribu kufanya.Kuna wanawake wenye pesa ambao ni wake za watu wanatongoza vijana wadogo.