Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
Baelezee=WaelezeeDah, ndoa ni kunyima fursa tena, mbona watukatisha tamaa.
Baelezee fursa inapoteaje ukioa
wee jamaa hii sio fix kweli?Mimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma
Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.
Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.
Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.
Mimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma
Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.
Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.
Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.
Nawe huna mpango?wee jamaa hii sio fix kweli?
Nampango wa kuongeza wa nneNawe huna mpango?