Tukutane hapa ambao hatuna mpango wa kuoa kwa Me au kuolewa kwa Ke

Pemba empire

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
467
Reaction score
1,339
Serious mm sina mpango wa kuoa Kabsa..yaani chapa ilale mpka nafika jioni yangu freshi.
Ninaye mtoto wa Kiume ntamlea basi. Haya mambo ya kuoa yamepitwa na wakati kupeana stress tu.

Ebu tujadiliane hapa wenye mawazo km Yangu..Wale wapenda ndoa au mlioa au kuolewa siyo kwenu hapa. Ndoa ni kunyima fursa tu.
 
Dah, ndoa ni kunyima fursa tena, mbona watukatisha tamaa.
Baelezee fursa inapoteaje ukioa
 
Mi kinachosababisha nishindwe kuoa ni mahari tu ile, hivi kwanini watu tunapendana tumekubaliana kwa mapenzi yetu tuishi wote wewe mzazi unasema hadi nikupe milioni moja na laki tano?

Ama tutoroke kama hautaki baki kwa wazazi wako.
 
Mimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma

Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.

Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.

Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.
 
wee jamaa hii sio fix kweli?
 
Hahahahahahaa looh

Haya nimefika hapa makutano kama ulivotuita. Mie ndo Kasie sinia bachela sina mwana wala mme.
Ila chonde chonde makutano haya isijekuwa ya kutubadilisha misimamo tukajikuta tumepata wa kutuwowa humu nanyi mkapata wa kuwawowa.

Kasie Matata.
 
Mimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma

Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.

Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.

Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.

Hii sio sababu, ukiumwa kiasi cha kushindwa kujihudumia huna tofauti na mfu kwahiyo aibu haipo yeyote anaweza kukuhudumia.
 
No matter what ndoa ni muhimu nikimwangaliaga na mkubwa ambaye hakuoa ana maisha ya shida hana mbele wala nyuma licha ya kuwa kwenye nyazifa nzito, kuwa na familia muhimu utajijenga nakufanya ya maana
 
Back
Top Bottom