Wivu sina ujue!![emoji57]Nampango wa kuongeza wa nne
Na mke anaweza kukukimbia piaMimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma
Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.
Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.
Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi pia niliwahi kuapa sitaoa ila nikaona mkasa mmoja. Soma
Kuna jamaa mmoja alikua mfanyakazi wa wa shirika fulani la umeme nchini. Ni fundi, alikua mtu wa makamo umri 40+ lakini alikua hajaoa alikua ni mtu wa totoz kula bata kwa sana. Siku hiyo katika harakati za kufanyia transformer maintenance akamwangikiwa mafuta ya transformer ya moto akaungua kuanzia shingoni mgongo wote akalazwa Regency.
Hakuwa na wakumhudumia zaidi ya dada yake ambaye alimpa huduma zote mpaka kumuogesha achilia mbali kumtawaza kila akikata gogo. Dada anachezea pumbu za kaka daily kwa miezi zaidi ya mitatu.
Sasa kama umeelewa somo hilo usioe ukifikwa na majanga ndio utajuta.
Bila shaka ww ni team single foreverwee jamaa hii sio fix kweli?
kwanini unasema hivyo?Bila shaka ww ni team single forever
Mkuu nimesema hvyo kulingana na comment yako hiyokwanini unasema hivyo?
Kweli mkuu ni mtu ninaemjua kabisawee jamaa hii sio fix kweli?
Unacheka kama mazuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo wewe ungekachaNa mke anaweza kukukimbia pia
SiweziKwahiyo wewe ungekacha