Basima Ogenze
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 786
- 881
Walaa siiwezi shangaaJe utafurahi ukikuta mama yako anakula makofi toka kwa baba yako? Kama sivyo, basi jiepushe kuwapiga wanawake kwani hao ni mama zetu pia ni mama wa watoto wetu.
Huwezi nikera nikakujibu kitakatifu..hilo kwangu hapana..nipige kofi lako lakini siwezi kukuacha salamaNilishakuwa naye na ndipo nilipojifunzia kuweka makofi.
Ila kama wewe upo hivyo na mumeo hakugusi basi ujue umeoa mume! Halipi chochote anakaa kwako.
Kwahio nikikukera ndio ticket au dhamana ya kutoa kauli za kishenzi, labda kam sikulipa mahari kwenu sawa, tena nawapenda wanawake viburi kama wewe ili ukileta fyoko nikufue ujifunze kukaa kimya sio kujibu utumbo.Huwezi nikera nikakujibu kitakatifu..hilo kwangu hapana..nipige kofi lako lakini siwezi kukuacha salama
huna tofauti na wanaokumbatia mila ya ukeketaji kisa wazee wetu walikuwa wanafanya. Huwezi ukawa mentally upo sawa halafu unafurahia kupiga wanawake. Kumpiga mtu ni hatua ya mwisho kabisaaa baada ya zote kushindikana. Hivi kwa akili zako unafikiri wanawake wao huwa hawaudhiki na vitendo vyetu wanaume? Je nao watupige?.Walaa siiwezi shangaa
Wanawake wa zamani (mama zetubibi zetu )
Vichapo ndoo viliwaweka sawa
Hata maandiko yana semaa
Yan kakofi tu upate kidonda.? Ok sawa mi nipo tayari kama utapata kidonda.Makofi hayamfanyi mtu akae sawa bana..kunakua tu na uoga..mimi ukipiga ilo kofi uwe tayari kulea kidonda
Maadilii ya wanawake yameharibiwa na na haoo wazungu walio kuletea mambo yao kisaasaahuna tofauti na wanaokumbatia mila ya ukeketaji kisa wazee wetu walikuwa wanafanya. Huwezi ukawa mentally upo sawa halafu unafurahia kupiga wanawake. Kumpiga mtu ni hatua ya mwisho kabisaaa baada ya zote kushindikana. Hivi kwa akili zako unafikiri wanawake wao huwa hawaudhiki na vitendo vyetu wanaume? Je nao watupige?.
Kumbe na wee ni mbabe!? Ukiwa mbabe hivyo wanaume wote si watakukimbia?Heheeheheh mwanaume akisogeza mkono kunipiga nitakavyompa kondeeee mpaka ataomba poooo
Hiyo siku nakwambia mshua labda akalala mtaa wa pili kwa jilani ...[emoji23] [emoji23]Je utafurahi ukikuta mama yako anakula makofi toka kwa baba yako? Kama sivyo, basi jiepushe kuwapiga wanawake kwani hao ni mama zetu pia ni mama wa watoto wetu.
Hivi hiyo kalenda ni ya kweli maana kuna mtu kapata ujauzito siku ya sabaNaunga mkono hoja mm nilikua najifanya sana mbabe halaf maneno mengi kwa ba watoto wangu weee...kuna siku aniwasha kofi 1 takatifu tangu siku hiyo nilibadilika kutoka kwenye usista duu na kua mama wa familia[emoji2]
Mapenzi upofuwanaweke wa hivyo wapo, jamani huwa nabaki kushangaa, nawajua wanawake kama 5 hivi na ni rafiki zangu, huwa nawauliza hivi huo moyo wa kuvumilia kipigo mnautoa wapi? huwa nawauliza hivi mnahisi mkiachana na hao watu hamtapata wanaume wengine au ni vp? mana sio kwamba wana shida ni watu wanaoweza kumudu maisha bila hao wanaume lakini mwee, nimeshaacha hata kuwashauri mana naona napoteza muda tu, wakinihadiithia nabaki kuwaangalia tu,
ExactlyHao Wa Hivyo Ndio Wabaya, Siku Akikutia Mkononi Lazima Akutie Kilema, Bora Wale Wanaopiga Mara Mara
Labda kama unamuheshimu Sana mumeoAnaanzaje kunipiga?