Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Mimi kuna jitu lilijidai linajua kuwa na wivu.
Akanipiga siku halafu akaniambia nitangulie nyumbani kwake nije nimpe maelezo vizuri. Nilichofanya nilivyonja kila kitu chenye material ya kioo.
Alikuja alilia kama mwanamke mwenye uchungu wa kuzaa.
tena we wa kupigwa sana tu,,.ningekupa za chembe km sita hivi..ungesimulia vizur.
 
Wewe usipigwe wewe ni nani, tatizo ni kuwa mwanamke? uanamke ni ulemavu? au uanamake sio kuwa binadamu kamili? hahaha...ungekuwa na mm ningekunyoosha ukaelewa position yako kwenye food chain
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii chai
 
Nashukuru Mungu cjawahi kupigwa kwenye mahusiano, na nikiona tu mwanaume ni arrogant mshamba aliyelelewa kimfumo dume wa ubabe wa kijinga na mwacha mapema kabisa, nime grow kwenye jamii isiyo piga wanawake na wote wanaheshimiana mwanamke, na mwanaume na familia zimekuwa vzuri tu. Mwanaume mpigaji ni dhaifu hajiamini na hana ushawishi Mimi ukini treat vzuri, nakuheshimu ila hujielewi utegemee nakuheshimu never on earth Mimi huwa siogopi jinsia yoyote kitaeleweka tu. Mungu niepushie na mwanaume mjinga na mpigaji mana malezi ya jamii yamemharibu
 
Wewe usipigwa kwanini? tatizo ni kuwa mwanamke au uanamke ni ulemavu? mbona wazazi wako au walimu walikupiga, kukutukana na hata kukuchapa, je ulikuwa una wajibu? hiyo poking behaviour inawaponza...mnajiona so special kumbe ni binadamu kama wengine tu...kipigo lazima ukizingua
 
Mzazi wangu hajawahi nipiga hata shule yenyewe sijawahi chapwa Mimi jinsia yoyote akinizingua tu cha moto atakiona tena nikikasirika uwiii ka mbali aisee. Kujibu nakujibu nakunigusa hunigusa aisee bora nikuvute hzo p....mbu
 
Nimeipenda hiyo, Lakini umezaliwa mkoa gani wewe?
 
Mzazi wangu hajawahi nipiga hata shule yenyewe sijawahi chapwa Mimi jinsia yoyote akinizingua tu cha moto atakiona tena nikikasirika uwiii ka mbali aisee. Kujibu nakujibu nakunigusa hunigusa aisee bora nikuvute hzo p....mbu
Hahaha...tayari kwa ongea, mwandiko na hulka yako, inakuanika mengi; either umelelewa na mzazi mmoja, au unatokea familia ya kishua (put in mind familia nyingi TZ ni za maisha ya kati)...sas in real life usilete ushua. Rules are tough.
 
Mwanamke hupigwa kwa Kanga kijana..hivyo vibao mpige mtoto wako siyo mwanamke.. Ndiyo maana huwa mnaachwa na mnaanza kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…