Dada Dorine hii myth kua eti mwanamke hapigwagi ni uongo mkubwa!
Ulaya yenyewe wanapigwa ndio maana kesi za domestic violence ni 80% ya kesi zote!
U should know your place in a food chain!
Tatizo ni poking behaviour ya wanawake kwa wanaume,...majibu kama niguse kama wewe mwanaume au mwanaume gani huna lolote,huniambii kitu,ntakupiga nijaribu uone,etc...zote hizi ni trigger unneccesary kabisa!
Olewa kwanza ndio utajua whatsup!
Sijui kwanini mnashindwa kua na displine...mkiwa makwenu mkikosea mnachapwa na hamsemi kitu,ukiolewa ukizengua je?Tena zengua za ndani ya nyumba ni way bigger!
Mi Niko kwa ndoa zaidi ya miaka 30, ninetoka kwenye familia ya ndoa, baba hakuwahi mpiga mama, babu yangu mzaa mama katoka kwenye makabila yanayosifika kwa kupiga wanawake but hakuwahi inua mkono wake kupigana na wanawake Bali alikuwa na style yake ya kuwapunish mpk bibi yangu anasimilia, babu yangu huyu ndio alinisimulia only wemye akili nfogo ndio wanapiga wanawake bright men wako na way ya kupunish kiasi ambacho mwanamke atakuheshimu. Try to control urself ukiona huwezi jitathmini. Mbona hata wanawake wanapitia maudhi lakini hawapigi sinkwa sababu tuko weak but sometime u have to use ur brain. Wazungu sio wa kutolea mfano coz hata wao kuna watu wako na features za animals so akili ndogo lazima ziwepo.