Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

hapo hamna namna..wapigwe tu..
 
Hahahaha jf nikiboko kila MTU anajifanya kastarabika kila sector yaani kama vile bongo move
Hahah washikaji wote maarufu kwa u-GENTLEMAN kule Chit-chat either hutawaona kwny huu uzi kabisaa au wakichangia utasikia wanasema ooh kuliko kumpiga mpnz bora umuache aende tu hahah,mambo ya kwenye movie hayo.
 
Kuna tabia ambazo njia pekee ya kumaliza ni makofi. Wangu alikuwa na tabia za kupenda kuchati chati hovyo na ex licha ya kumkataza. Siku ya siku akateleza meseji ikaja kwangu bahati mbaya. Nikamuibukia hostel kwao na akajidai room mate ndo alikuwa na simu na alikuwa anam sms jamaayake. Nilijua anadanganya kwani jina na uandishi wake nautambua vyema. Hasira zikanipanda nikamlamba vibao, roomates wake wakaingilia kati kuamua. Nao wakala vibao. Nilikuwa fox ile mbaya na nikakata uhusiano nae. Ila baada ya wiki moja akajirudi nakuomba msamaha akisindikizwa na wale marafiki zake. Kichapo kilisaidia, kwani kwasasa ni wife tayari na kila akikumbuka huwa anacheka sana maana anadai ubinti/utoto ulikuwa unamsumbua.
 
Mimi juzi tuu,mwanamke wangu nilikuwa namuelekeza kuwa Mama yangu hapendi baadhi ya vijitabia vyake,. Heeh si akaanza kuniwakia huku akisema mama yangu amezidi kumfatilia ki ukweli hata sijui ilikuwaje nilijikuta nimempa kofi la kichwa mpaka akazima kama robo saa,ingawa nilijisikia vbaya sana kumpiga,ila nilimuambia anapomuongelea mama yangu atumie hekima sana,tukaelewana maisha yanaendelea vzuri tuuh,

So kuna wakat wanawake wawe wanaangalia sana midomo yao,ili kuepuka vpigo vya bila kutarajia na hasa kwa sisi ambayo kupiga wanawake sio tabia yetu!!!!!!*
 
Muongo wewe..kuna mtu unamvia humu
 
Hahah washikaji wote maarufu kwa u-GENTLEMAN kule Chit-chat either hutawaona kwny huu uzi kabisaa au wakichangia utasikia wanasema ooh kuliko kumpiga mpnz bora umuache aende tu hahah,mambo ya kwenye movie hayo.
hahahhaha..wale jamaa hatari sana..wakiongozwa na daby..hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…