Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

Dah usipige mwanamke na ngumi au kumnyonga, kuna Tomboy mmoja alikuwa na pikipiki alikuwa anatuzuia njia tulimpa ishara sana akawa atoki barabarani tukampamia akaangukia mtaroni wakaendelea wenzangu sisi tulibaki kumuuliza kulikoni umetumwa au akawa anajibu shit na matusi mwenzangu akamvuta Dadá tuendenae. anarusha Ngumi.Kilichotokea nlijuta ila nliaapa sitampiga Mwanamke tena.Naamini mpaka anaenda kaburini Hatosahau japo tulimsamehe tukamuacha.
 
wanaweke wa hivyo wapo, jamani huwa nabaki kushangaa, nawajua wanawake kama 5 hivi na ni rafiki zangu, huwa nawauliza hivi huo moyo wa kuvumilia kipigo mnautoa wapi? huwa nawauliza hivi mnahisi mkiachana na hao watu hamtapata wanaume wengine au ni vp? mana sio kwamba wana shida ni watu wanaoweza kumudu maisha bila hao wanaume lakini mwee, nimeshaacha hata kuwashauri mana naona napoteza muda tu, wakinihadiithia nabaki kuwaangalia tu,
 
Hao Wa Hivyo Ndio Wabaya, Siku Akikutia Mkononi Lazima Akutie Kilema, Bora Wale Wanaopiga Mara Mara
hakuna kitu kama hicho, mwanaume ni either mpigaji au sio mpigaji hakuna cha iko siku, me siwezi kupigwa wewe
 
Eee we ni muuaji lol....ila dharau mbaya aisee ungempa tu tukofi twa kawaida jaman
 
Huyu ndo mwanaume sasa
 
 
Hahaaa mkuu ulitandaza vibao mpk kwa room mates duuh ,ila nimependa tu ulivokuja kumuoa, inaonesha ulimpenda kweli [emoji23]
 
Sitaki kujaribu,hiki kiganja changu nikiammua kuwasha mwanamke kofi lazima apate kizunguzungu,ndio maana nilishajiapia sitakuja kuchapa kofi mwanamke nisije kupata kesi bure.There are so many treatments that you can do to a woman just to punish her,and mind you some of them are so hurting than slapping her...
 
Naunga mkono hoja mm nilikua najifanya sana mbabe halaf maneno mengi kwa ba watoto wangu weee...kuna siku aniwasha kofi 1 takatifu tangu siku hiyo nilibadilika kutoka kwenye usista duu na kua mama wa familia[emoji2]

mmeanza kuja wenywewe..safi sana
 
shauri yako..usijifanye eti utamnyima mzigo..wajanja watampa nje huko..Kisago tu
 
Naunga mkono hoja mm nilikua najifanya sana mbabe halaf maneno mengi kwa ba watoto wangu weee...kuna siku aniwasha kofi 1 takatifu tangu siku hiyo nilibadilika kutoka kwenye usista duu na kua mama wa familia[emoji2]
Hahaaa Kofi moja lilikubadilisha ,lilikua zito kiasi hicho [emoji23] [emoji23]
 
shauri yako..usijifanye eti utamnyima mzigo..wajanja watampa nje huko..Kisago tu
Hiyo sio adhabu mkuu zipo nyingi tu,ila cha muhimu lazima tuwe makini sana na wanawake,kuna wengine hizo reactions wanazofanya inakuwa ni mapepo,ukiangalia kuna jamaa hapo juu kuna uzi kaelezea aliwahi kumpiga mkewe mpaka akapandisha maruhani,wanawake wengi sana wana mapepo na hawajijui,hayo mengi ni majini mahaba yanayowafanya vile ili mkorofishane,sasa usipokuwa makini utapiga mwishowe utaua,fanya maombi Mungu atakupa ufunuo ili uweze kujua kama ni yeye au la,yalishanikuta hayo ila hekima ya roho mtakatifu ndio iliniongoza niwe na busara,hatimaye ikagundulika ni mapepo akaombewa yakatoka na sasa hivi tuna amani sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…