- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Samahani mkuu, kama kuna adhabu Kali za kisaikolojia unazopewa ambazo zinazifldi ukali wa kupigwa kwanini mchukie kupigwa kuliko hizo adhabu za kisaikolojia?Hahah ati kufagia, kuna adhabu nyingi sana hawa za kumuumiza MTU kisaikolojia wanaozijua wanafanikiwa hakuna adhabu Kali kama ya kumtesa MTU akili. Mi hata ningerudi asubuhi najua nisingepigwa ila ningeteswa kiakili maisha yangu yote na hicho ndio ninachokiogopa zaidi kuliko mangumi, maana mangumi mwili utapona lakini kovu la akili inachukua muda sana kupona.
In fact ulitakiwa kushukuru kua unapewa adhabu rahisi!
Otherwise, tengua kauli.