Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi

Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio.

Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la mtongozo na hufanikiwa kuopoa

Ngwea - she got a gwain , nilitumia sana mitari ya verse yake ya kwanza, Ngwea aliumiza sana kichwa kutunga ile mistari

Nipe Nafasi - TID, hii ilikuwa multipurpose kwenye kutongoza na kuomba nafasi nyingine
 
Hadi now natumia mistari ya wasanii kutongoza Thami - I love you.
Kaimba lugha gani huyu Thami ?


Ngiyakudinga lovie wami
Nguwe wedwa empilweni yami
Ngekе ngisuke eduze kwakho intliziyo igcwеle uthando
Ngalamagama ngithi i love you
Ngiyakudinga lovie wami
Nguwe wedwa empilweni yami
Ngeke ngisuke eduze kwakho intliziyo igcwele uthando
Ngalamagama ngithi i love you
 
Kuna watu wanajua kutongoza na hela jamani,yaani akikutumia sms ukichelewa kujibu muamala unasoma,unajikuta unajibu Tu hata kama ulikuwa hutaki🤓🤓🤓🤓
Na hao watu huwezi katu kusikia wanateswa na mapenzi maana kila jambo zuri watafanyiwa. Loh.
 
Back
Top Bottom