shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Tajiri we mtu Wa muhimu Sana,sikutangazi teeeena Tajiri,nisamehe Mimi bila wewe hizo chafya zitaniua Tajiri🤗🤗🤗🤗🤗Kwanini unapenda kunitangaza? Saiv ukipiga chafya sikutumii tena hela ya matibabu
Tajiri we mtu Wa muhimu Sana,sikutangazi teeeena Tajiri,nisamehe Mimi bila wewe hizo chafya zitaniua Tajiri🤗🤗🤗🤗🤗Kwanini unapenda kunitangaza? Saiv ukipiga chafya sikutumii tena hela ya matibabu
Acha matusi ndugu, ndo mambo gani kututukana matusi mengi kiasi hicho!Kaimba lugha gani huyu Thami ?
Ngiyakudinga lovie wami
Nguwe wedwa empilweni yami
Ngek ngisuke eduze kwakho intliziyo igcwle uthando
Ngalamagama ngithi i love you
Ngiyakudinga lovie wami
Nguwe wedwa empilweni yami
Ngeke ngisuke eduze kwakho intliziyo igcwele uthando
Ngalamagama ngithi i love you
Nikuwekee kwenye M pesa au Airtel money?Tajiri we mtu Wa muhimu Sana,sikutangazi teeeena Tajiri,nisamehe Mimi bila wewe hizo chafya zitaniua Tajiri🤗🤗🤗🤗🤗
Afu tukisema wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu mnakuja kutuona tunawatukanaKuna watu wanajua kutongoza na hela jamani,yaani akikutumia sms ukichelewa kujibu muamala unasoma,unajikuta unajibu Tu hata kama ulikuwa hutaki🤓🤓🤓🤓
Weka Airtel money,Kule M pesa nimesongesha!Nikuwekee kwenye M pesa au Airtel money?
Endeleeni kututukana Tu ila kutopenda hela ni uongo!Afu tukisema wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu mnakuja kutuona tunawatukana
Kwani umalaya ni nini hasa! Mnatuchanganya mjuee🫴🏾Afu tukisema wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu mnakuja kutuona tunawatukana
Inaniuma sana by Juma natureN:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi
Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio.
Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la mtongozo na hufanikiwa kuopoa
Ngwea - she got a gwain , nilitumia sana mitari ya verse yake ya kwanza, Ngwea aliumiza sana kichwa kutunga ile mistari
Nipe Nafasi - TID, hii ilikuwa multipurpose kwenye kutongoza na kuomba nafasi nyingine
Tuliobahatika kuonja mahusiano ya miaka Ile ya kabla ya ujio wa simu za mkononi(enzi za kutumiana barua) pesa haikuwa kipaumbele sana kwenye mahusiano kama sasaEndeleeni kututukana Tu ila kutopenda hela ni uongo!
Mambo yamebadilika sana, dunia iko kasi kuliko kawaida!🙌🏾Tuliobahatika kuonja mahusiano ya miaka Ile ya kabla ya ujio wa simu za mkononi(enzi za kutumiana barua) pesa haikuwa kipaumbele sana kwenye mahusiano kama sasa
Zamani msichana akikupenda amependa hata uwe msukuma mkokoteni huna kitanda unalala chini binti akikupenda hata awe wa kishua ataiba pesa kwao akuletee halafu zamani hata msichana kukusariti haikuwa rahisi kama siku hizi
Zamani ilikuwa hata mtaani unaambiwa huyo ni demu wa flani na hata ukimwita hawezi kusimama
Ila siku hizi hakuna demu wa mtu, siku hizi usariti uko level ya juu Kila mwanamke ni WA wote kinachoangaliwa ni pesa tu
owa naomba kuuliza, hivi huo wimbo wa ngwea-she got a gwain ni wa kizungu? Maana hapo mwnzoni unafanana na verse ya wimbo ambao ninautafuta sana!N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi
Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio.
Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la mtongozo na hufanikiwa kuopoa
Ngwea - she got a gwain , nilitumia sana mitari ya verse yake ya kwanza, Ngwea aliumiza sana kichwa kutunga ile mistari
Nipe Nafasi - TID, hii ilikuwa multipurpose kwenye kutongoza na kuomba nafasi nyingine
She got a gwanowa naomba kuuliza, hivi huo wimbo wa ngwea-she got a gwain ni wa kizungu? Maana hapo mwnzoni unafanana na verse ya wimbo ambao ninautafuta sana!
eti dada mkubwa, huo wimbo ni wa kizungu?She got a gwan
Usariti❎Tuliobahatika kuonja mahusiano ya miaka Ile ya kabla ya ujio wa simu za mkononi(enzi za kutumiana barua) pesa haikuwa kipaumbele sana kwenye mahusiano kama sasa
Zamani msichana akikupenda amependa hata uwe msukuma mkokoteni huna kitanda unalala chini binti akikupenda hata awe wa kishua ataiba pesa kwao akuletee halafu zamani hata msichana kukusariti haikuwa rahisi kama siku hizi
Zamani ilikuwa hata mtaani unaambiwa huyo ni demu wa flani na hata ukimwita hawezi kusimama
Ila siku hizi hakuna demu wa mtu, siku hizi usariti uko level ya juu Kila mwanamke ni WA wote kinachoangaliwa ni pesa tu
Hapana! Code switching tu ila kaimba kibongoeti dada mkubwa, huo wimbo ni wa kizungu?
aahh sawa! Mi nikadhani ni wimbo mmoja uliimbwa na mmrekani mweusiHapana! Code switching tu ila kaimba kibongo
Weka namba tueke muamalaKuna watu wanajua kutongoza na hela jamani,yaani akikutumia sms ukichelewa kujibu muamala unasoma,unajikuta unajibu Tu hata kama ulikuwa hutaki🤓🤓🤓🤓
Si mangwair ndio aliimba mkuuaahh sawa! Mi nikadhani ni wimbo mmoja uliimbwa na mmrekani mweusi
aah si hiyo verse ya kwanza(she got a gwan) ndo imenichanganya! Huo wimbo wa huyo mmarekani mweusi na wenyewe unaelekea kufana na huo! Sijui lyrics zake sana ila kuna sehemu anaimba hivi "everytime she put it on, put it on, girl put it on, she got a gwan, se got mi heart" ni wa kitambo sana huo wimbo! Nautafuta sana ila simjui muimbaji!Si mangwair ndio aliimba mkuu
Ukiandika google hayo maneno machache tu unaupata!aah si hiyo verse ya kwanza(she got a gwan) ndo imenichanganya! Huo wimbo wa huyo mmarekani mweusi na wenyewe unaelekea kufana na huo! Sijui lyrics zake sana ila kuna sehemu anaimba hivi "everytime she put it on, put it on, girl put it on, she got a gwan, se got mi heart" ni wa kitambo sana huo wimbo! Nautafuta sana ila simjui muimbaji!