Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

Ukiandika google hayo maneno machache tu unaupata!

Ila wa ngwair alianza, Tukianzia uzuri tu She got a gwan
Tabia, heshima, ndio huyo doo She got a gwan
Mpaka kwa ma sista doo oh yeah
Nabaki tu ...
wee! nilijaribu kuandika google ila matokeo yakaja mengi!
 
Kwani umalaya ni nini hasa! Mnatuchanganya mjuee🫴🏾
Kutumia mwili wako/usichana wako kujipatia pesa kwa mtu ambaye sio mwanaume wako, mzazi wako au kuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya mmoja
 
Back
Top Bottom