Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
wee! nilijaribu kuandika google ila matokeo yakaja mengi!Ukiandika google hayo maneno machache tu unaupata!
Ila wa ngwair alianza, Tukianzia uzuri tu She got a gwan
Tabia, heshima, ndio huyo doo She got a gwan
Mpaka kwa ma sista doo oh yeah
Nabaki tu ...
Andika verse tu hawawezi kuleta mambo mengi!wee! nilijaribu kuandika google ila matokeo yakaja mengi!
mhh! Nimejaribu nikuta ni wa ja Rule!Andika verse tu hawawezi kuleta mambo mengi!
Ile Ile ya airtelWeka namba tueke muamala
Sawa mwalimuUsariti❎
Usaliti✔️
Thank You Pupil.......!!!Sawa mwalimu
Kutumia mwili wako/usichana wako kujipatia pesa kwa mtu ambaye sio mwanaume wako, mzazi wako au kuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya mmojaKwani umalaya ni nini hasa! Mnatuchanganya mjuee🫴🏾
Ndo umalaya huoEndeleeni kututukana Tu ila kutopenda hela ni uongo!
SIna mrembo no akoIle Ile ya airtel
Hiyo ya pesa si biashara sasa auKutumia mwili wako/usichana wako kujipatia pesa kwa mtu ambaye sio mwanaume wako, mzazi wako au kuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya mmoja
Umalaya c ndo biashara yenyeweHiyo ya pesa si biashara sasa au
InawezekanaUmalaya c ndo biashara yenyewe