Tukutane hapa tuliowahi kuibiwa na wanawake guest house

Tukutane hapa tuliowahi kuibiwa na wanawake guest house

Siku zote unapofika eneo ambalo wewe ni mgeni na unataka kubeba malaya, kwanza tafuta mwenyeji ambaye ndie umfanye kama mdhamini wako, kama vile baamedi, au dj, nk.

Mpe mwenyeji wako kazi ya kukuunganisha na malaya unayemtaka, trust me hataweza kukuibia coz anajua ukimfuata yule mwenyeji wako anaweza kukupeleka mpaka anapoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imesema sahihi kabisa mkuu
Siku zote kama unataka mazigo ya kununua hakikisha umeunganishwa na Dada ya bar
Usiwe mchoyo mpe Dada wa bar ka ofa ka bia mbili tatu then mchomekee atakutafutia mzigo mzuri kabisa na hautakuibia
Ukileta ujuaji ugenini yatakukuta ya mwanakumkuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote unapofika eneo ambalo wewe ni mgeni na unataka kubeba malaya, kwanza tafuta mwenyeji ambaye ndie umfanye kama mdhamini wako, kama vile baamedi, au dj, nk.

Mpe mwenyeji wako kazi ya kukuunganisha na malaya unayemtaka, trust me hataweza kukuibia coz anajua ukimfuata yule mwenyeji wako anaweza kukupeleka mpaka anapoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ni mbobezi kwenye hii tasnia. Pia usiwe bahili kumpa ofa huyo mwenyeji aliyekutafutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa sina tabia ya kumuamini mwanamke, tena tunayekutana naye kwenye viwanja!
Ni mbinu 3 tu ninazotumia.

1. Kukabidhi vitu vyangu vya thamani mapokezi.

2. Kuunganishiwa na mwenyeji wangu, tena mwenyeji.

3. Kama nina pesa mingi huwa naziweka kwa M-Pesa tu kwa muda. Ili kesho yake nitazitoa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu katika ubora wao.....hii mbinu nilishaitumiaga.....halafu kwenye wallet unawka noti bandia kibao...lazima atachomoa hata 2......then kesho yake unaenda same place........
mimi nakumbuka enzi zangu z ujanja ujanja nilishia wahi kuchukua demu mitaa flani ya tabata pale the great ile kazi ilitaka 50k imekula mtungi wangu sana pale ilipofika usiku mnene nikachome plug akataka hiyo nikasema poa tukaingia rum akataka ela kwanza nikamwambia nina electronic money nikamtumia through tigo pesa then nikafanya nachukua ndomu kumbe nikawapigia tigo wakarudi
mkuu hivi pale itigi wale malaya bado wapo? mana nilipita nikaona kuna construction inaendelea maeneo yale.
nafikili hawapo siku hizi kuna project ya hotel pale inaendelea ya shabib siku hizi malaya watakuwaa pale samaki spot nafikili
 
Kuna jamaa yang mmoja yeye alkua bingwa wa KUWAIBIA MALAYA.

Atembea na vidonge vya usingizi, Kisha anawachanganyia kwny kinywaji.

Dem analewa na kulala usingz,

Asbuhi Malaya anajikuta uchi.

Hela,cheni,wigi,bangili na nguo vyote Ni halali yake.

Sema,
Malaya Walikuja kumgundua na wao wakamfanyizia zengwe moja balaa Sana.

Mpaka,
Jamaa alidhoofika sana akawa Kama njiti

Alilia sana Kama Mtoto mdogo na ndo ikawa mwisho wa ule mchezo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
changudoa wa karatu ni viwango au kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Karatu, mbulu,katesh ni hatare sample hii apa
IMG-20200315-WA0062.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom