Tukutane hapa tuliowahi kuibiwa na wanawake guest house

Tukutane hapa tuliowahi kuibiwa na wanawake guest house

Kuna jamaa yang mmoja yeye alkua bingwa wa KUWAIBIA MALAYA.

Atembea na vidonge vya usingizi, Kisha anawachanganyia kwny kinywaji.

Dem analewa na kulala usingz,

Asbuhi Malaya anajikuta uchi.

Hela,cheni,wigi,bangili na nguo vyote Ni halali yake.

Sema,
Malaya Walikuja kumgundua na wao wakamfanyizia zengwe moja balaa Sana.

Mpaka,
Jamaa alidhoofika sana akawa Kama njiti

Alilia sana Kama Mtoto mdogo na ndo ikawa mwisho wa ule mchezo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
walimfanyaje mkuu
 
walimfanyaje mkuu
Jamaa alitegeshwa,
Siku moja kajibebea kama kawaida yake, kumbe Malaya keshawatega wahuni.

Anaingia tu loji hata hajaoga Bado, anagongewa hodi.

Kufungua tu,
Kakutana na njemba zinajitambulisha kua uyo Dem alokua nae Ni mke wa mmoja wao.

Jamaa alichapika ipasavyo ndani ya ile loji, baada ya hapo alipotea km wiki 2 kibaruani haonekani anauguza tu vidonda.

Mwezi mmoja baadae,Akapona kabisa.

Jamaa kasahau Tena yaliyomtokea na kurejea Tena kwny tabia yake.

Akarudi kijiwe kile kile na kuopoa Malaya,

Sasa yule Malaya akamshawishi wakafanyie mapenzi kwake kuokoa gharama za gesti.

Jamaa akakubali na kwenda anakoishi Malaya.

Alipoingia TU,

Binti akamwambia, Leo ndo utakua mwisho wa uzulumaji wako na unaenda kuozea jela.

Hajakaa sawa, akaona binti anachukua kisu na kuchana chana nguo zake.

Kisha akaanza kupiga yowe za kubakwa.

Watu walijaa sana pale, Simu zikapigwa polisi jamaa akabebwa mpk kituoni.

Binti ikabd akapimwe,
Ushahidi wa daktari ukaonyesha Ni kweli binti kaingiliwa masaa 6 yaliopita.

Kesi kila ikipelekwa mahakamani inapigwa kalenda, mara Upelelezi haujakamilika Mara shahidi Ana udhuru, Mara hakimu hayupo.

Jamaa alisota rumande Miezi 7

Kesi ikaunguruma na dalili zikaonesha kabisa kesi hii anashindwa.

Na akishindwa, lazima Miaka 15 jela imhusu.

Basi,
Ikabidi ndugu zake jamaa wakaombe msamaha kwa wale Malaya ili yaishe nje ya mahakama.

Familia yake ikachangishana,
Wakahonga Hakimu, karani mpk polisi ili kesi izimwe.

Familia ilikua masikini, Wakauza hadi mashamba ya familia.

Wale Malaya walikula mgao wa million 3
Hakimu million 2
Polisi, karani na wapuuz wengine wakala Kama million 1.5

Kesi ikafutwa,
Jamaa anarudishwa uraiani.

Safi sana, karma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa! Inauma ila tamu. Mimi ni driller by profession so hii nchi nimezurura mno Alhamdulilah, kote nilipozurura napanyooshea mikono Moro Town.

Siku hiyo nakula gambe mitaa flani jirani na Msamvu panaitwa Itigi nikaopoa binti. Mmh! baada ya monde sana akanambia tuhamie Yohana Pub tukaenda monde kama kawa, baadae tukaenda lala guest moja inaitwa Paradise nikapiga mashine kama mjukuu wa Mswati.

Kilichiniponza ni kunyonya matiti, mara ckujielewa naamka siku ya pili kitandani niko alone kucheck suruali wallet ipo ila haina kitu zaid ya vitambulisho na kadi ya bank, simu mbili zote hakuna, wenge to the maximum. Nikarudi rum akili zimepaa kiujumla, siku ilikua ngumu sana sikula kabisa.

Jioni washkaji wakanitoa out nikala Konyagi ndogo ndiyo akili ikarudi nikaenda bank nika-draw mzigo nikanunua simu na toka hapo akili zikakaa sawa. Siku hizi nina mbinu za kimafia, siibiwi tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachilia mbali avatar kuwa pacha hata ID ni pacha...mdau kuwa makini zaidi wakati mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walinikomba kila kitu nikabakia na boksa aina ya tommy tu nimevaa

Ila yule Malaya nilimdaka nilichomfanya nikiandika hapa wanawake wataandamana watasema nimefanya udhalilishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahàaa htari mm nilimtanguliza kwa baiskeli ya Mbao tulipo ingia room baada ya story akavua nguo na akaingia toilet nichukua mzigo nikaweka kwnye kakoti kake nikabaki na sh ,7000 tu nilimuona alivyokuwa anahangaika alfajir ile kufika saa 2:30 nikaamshwa nashangaa mtu kafura htari ananimbia Nile changu nisepe nikamwambia lete koti lako ukatokea ubishi htari mwisho akakileta nikatoa mzigo macho kodo nikamtia chake 20,000 akaondoka na aibu nikaendelea kulala zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ilinikuta pale MK bar kinondoni mwaka 2005 siku ambayo baraza jipya la mawaziri lilikuwa linatangazwa......nikajichanganya na machangu nikiwa na washkaji...washkaji walipo ondoka...nikawa monde mbaya demu akaniwekea madawa kwenye glasi ....muda si muda akasema tukalale palepale gesti....duh niliamka jioni siku ya pili na mawenge si ya nchi hii...halafu siko na hata mia mfukoni...uzuri nilikuwa nimeshalipia room....siwezi sahau milele
 
duh mtu anayekata mate au kunyonya matiti, au kuzama chumvini kwa malaya, yani huyo anatakiwa awe na siti yake pembeni ya lusiferi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I tried this in masasi, yule dada aliniletea mzigo wa haja, nilienyoy sana, dada mwenye kigrocery pale masasi stand, asante sana
Imesema sahihi kabisa mkuu
Siku zote kama unataka mazigo ya kununua hakikisha umeunganishwa na Dada ya bar
Usiwe mchoyo mpe Dada wa bar ka ofa ka bia mbili tatu then mchomekee atakutafutia mzigo mzuri kabisa na hautakuibia
Ukileta ujuaji ugenini yatakukuta ya mwanakumkuta

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nendea kwa profile yangu kasomeage jinsi yale yarinikutaaaaaaa

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom