Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Mwanaume wa kweli hajutii maamuzi ya kuachana na mwanamke asiyeeleweka[emoji23][emoji23].

Kuna hawa wanao complain sjui kuhusu mgao wa mali na mazagazaga ya kiuchumi, hivi mwanaume uliyeteseka kutafta vitu vya thaman unaanzaje kugawana na mtu unayeachana nae ilihali umevitafta wew?

Ujinga ni pale mkiwa kwenye ndoa mnajisahau na kujikuta malaika kwa kuanza kushare kila kitu, mnajenga pamoja, mnanunua magari pamoja, wengine mpka card zenu za benk mnashare na wake zenu, si vibaya lkn hil jambo litakuja kukucost na utajuta sana.

Tunawashauri kila siku, owa ukiwa umetimiza angalau nusu ya ndoto zako, huyo mke unayeoa asijekuwa sehem ya wew kutimiza ndoto za mafanikio kiuchumi bali akute ushafanikiwa au aje amalizie gap dogo tu.

Owa ukiwa na mali zikiwa zimeandikishwa na wanasheria mmiliki halali weka hata wazaz, kama huna weka ndugu&jama unaowaamini ama baazi ya mali zako zifiche hata huyo msaliti wako wa baadae asijue unamiliki mali kiasi gani.

Dunia imeharibika siku hizi wanawake wanaingia ktk ndoa kimkakati sana, wapo wanaoingia kwa maigizo waje wachume na kupotea kuwarudia mabwana zao wa mwanzo(wadangaji)

Pia wapo wanaohusishwa na familia zao kuingia ktk ndoa kimkakati kwenda pia kuwinda mali, na baada ya kupata ni majuto kwa mwanaume hufuata kama sio kurogwa na kugeuzwa msukule ama kufa na vitu vyako vinyang'anywe.

Wapo ambao kwa tamaa zao tu za kingono huamua kujitoa ktk ndoa na kuingia kimahusiano na wanaume wengine, so hata hapa lazma mali zako zigawanywe kwa masingizio ya sheria na upuuzi mwingine.

Unatakiwa kujua mke uliyeoa si ndugu yako na hatowai kuwa ndugu yako kamwe ndiomaana unashiriki nae matendo ambayo huwezi kuyashiriki na ndugu zako, hivyo hata imani kwake iwe kwa kiwango ambacho hakitakuumiza.

Ishi nae kwa akili hatakama akili huna ila jitahidi kuelewa kuwa huyo hutoishi nae milele taka usitake kwa wanawake wa kizaz hiki, kuachana nikama sunna kwao.

Hakikisha furaha yako unaijenga nje ya mategemeo ya mtu, narudia tena, hakikisha mali zako hazitomuhusu siku mkiachana maana atakurudisha nyuma mafanikio uliyopambania muda mrefu.

Wabishi ndio waliwao
 
Kutoa talaka sio Jambo la kufurahisha hata kidogo, kwani mwenye anatoa anaumia na anaepokea anaumia vile vile,hakuna mtu ambaye Ni mbaya totally
Kunayo mazuri kadhaa anakua nayo lakini anapokua anakosea mtu unaamua kumhukumu kwa makosa yake ya mwanzo na mnadivorce ,
Soon mnapoachana ndipo utaanza kugundua gap imejitokeza,utaanza kugundua baadhi ya action nzuri alzokua nazo mtalaka wako,utaanza kuumia na wewe japo utajipa matumaini kwa kujikumbusha mabaya yake,
Apo Kama mlikua na watoto hio Ni mada nyingine kabsa na changamoto zake Ni hazielezeki,.
Talaka Ni chungu kwa anaetoa na anaepokea ,tofauti yake Ni mtoaji atakua anafrai wakati wa kutoa while mpokeaji anaumia ila baada ya muda Ni either wote watakua wanaumia au mpokeaji atakua ashapona na alietoa anajutia.
Kataa Ndoa
Ndoa Ni Kifo
Ndoa Ni Utapeli
 
Itr

Vipi kuhusu watoto mkuu
Watt si Ni wa kwako. Yaani watt wao hawnaa habari kama mmeachana wao bado Wana mama yao na baba yao.
Kuachana Ni kutoshiriki tendo basi. Ila mke anahudhuria kwenu Kama kawaida,yeye anaweza akawa anaishi huko na jibaba. Anakuwa free Kama molecules.
Watt wakitaka waende kwa mama ama kwa baba Ni option yao.
Huyo mama lazima atazikwa kwetu tu.
Mana ujue sir mke akishaolewa huyo Ina Mana amekuwa sehemu ya ukoo wetu.
Kwani huku kwenu hamkosani hata ndugu wa damu moja Sasa iweje mke yeye aonekane Kama sio mwanadamu Kama wengine walioko kwenu.

Yaani narudia kuulizia unajua Mana ya send off lakini.
Ama Ni Ile watu wanaipapatikia tu wanafurahi party.
Ila mke akishakubali kuolewa Ina Mana amebadili asili yake na ndio Mana kwao wanamtuma mazima yaani no come back.
Akishatoka kwao Hana chake Tena.
Ila Kuna wengine nasikia bado lile geto lake linabakia,na akifa anaenda kuzikwa kwao.
Yaani mke kumuoa Ina Mana Ni mtu unakuja kumpanda kwenye ukoo wenu sijui Kama unanielewa.
Bianfsi naikubali jamii mno pamoja na kuzunguka dunia yaani nilirudi Kijijini nikajadiliana na wazazi Mana mke wa kuoa sio wa kufaki mkuu siku moja yaani Ni mazima so ukoo wake lazima uchekiwe kuanzia huko nyuma kabisa kabla hujazaliwa ama babu yake ajazaliwa ili Ile inherited history ya ukoo wake Mana iko clear and cream.
Hii Ni baada ya kuwa nimesoma bailojia kidato Cha nne masuala ya DNA nikaanza ku relate mchakato wa kumpata binti wa kuolewa kule home unavyofanyikaga. So Nika appreciate wazee bila hata ya kushikiwa fimbo.

Pia Kuna kitu kinaitwa LAW OF LARGE NUMBERS.
Hii iko ivi huwezi kusema ama ku draw conclusion ya kitu fulani just for small sample space ya population.
Mfano Kama unatafuta mean ya utajiri wa watanzania let us say tuko 60M ,wewe unafanya research ama sample ya watu milioni 20 mie nikafanya 45M mie nitakuwa na jibu sahihi yaani ile mean inaweza ika approach mean ya population nzima ya jamii ya kitanzania.
Mfano coin flip Ni 50/50 probability Ila Sasa wewe ukifanya trials like 10 unaweza ukapata head 8 na tails 2 ukadai kuwa coin flip sio fair.
Inatakiwa ufanye sample nyingi mno like 100 aliyefanya trials like 100 anaweza akapata heads 54 na tails 46 Ila Sasa sema mwingine akafanya Mara 100000 ama alfu kumi atakaribia kupata jibu ambalo linakaribia 50/50 Mana ukifanya trials chache unaweza ukakutana na kichwa hata Mara 15 hujakutana na mkia so unaweza ukaanza ku doubt mkuu Ila bado Ni 50/50 game.
So hii namaanishaje wazee Wana sample space kubwa mno tofauti na sie ambao unakuta tumeishi miaka below 30 tunaohutaji kuoa.
Mana wazee wameishi muda mrefu wameona mengi mno.
So wao ku draw conclusion yao itakuwa Ina accuracy kubwa mno kuliko ya kwetu ambao bado hutajakutana na events nyingi kwenye life letu mpaka tuweze kuongea kitu Cha ukweli.

Hii kanuni inatumika hata na insurance companies like health insurance,Car insurance ,life insurance,risks insurance in construction industries,
Kwa wale waliosoma statistics wanajua ninachoongea na masuala ya probability kwa Mana ya mathematics.
Pia hii Ni career inasomwa sijui inaitwa actuarial science.
Wakati natoka udsm ndio walikuwa wameanzisha pale CoNAS.
 
Big up sana binafisi Bado sijaoa ila hata mimi nitarudi nikaoe home kabila langu .
Uliyo yaeleza na Kwa jamii yetu wakurya ni hivyo hivyo 💯 .
Nimeishi ..... Dodoma ,kigoma,songea,mbeya ,iringa ila kote huko sijaona wenye tamaduni BORA kuliko za Nyumbani .
Rudi nyumbani Mana huko ndiko unakojulikana na pia ndiko wanakokupenda. Wengine Hawa wanapenda kisa una kijimshahara Chao Ila hawacheki kuunganisha Koo.
Ukitaka upate mke kwa mjini wape mitihani yote uone Kama wangapi wataivuka. Jifanye umepigika uone.
Mie Kuna binti nilimwambia kuwa nime disco second year to third year akanipiga chini akashangaa chuo kinafunguliwa namie nipo akaanza kujileta kwangu.

Kumbuka kuoa unatafuta mama yako wa ukubwani atakayekuogesha ukiugua.
Hata Kama huwezi nyanyuka unajisaidia kwa beseni anakusafisha anamwaga kinyesi chooni.
Yaani Kama mtt anavyolelewa ndio Mana ya kuoa/kuolewa.
Mana Kama anakupenda Kama mwanae hawezi kukuonea kinyaa.
Sasa oa wa mitandaoni wanaotaka ku post status kila siku mmekula nini.
Yaani mtu anatumiwa energy kubwa Leo atapost nini na akiwa wapi na akila nini.

Swali kidogo mama yako anakukimbia kisa ya wewe kuwa masikini,magonjwa,kilema, ama kwa.sababu yyte ile jamani kweli.
Sasa Kama ke anakukimbia Ina Mana hajakuona Kama mwanae.

Sasa oa kisa jogoo linawika Mara umeona tako,sura,paja,kwapa Safi,elimu, mshahara wake,utajiri wao,rangi yake,dini yake,
Hayo yote Ni temporary huwa Yana fade away.
Once we get used with something new we get bored with it.
Hata kazi ukishaizoea huwa unaichoka na inaboa. Biandamu ameumbiwa kuwa adventurer.
Na yeye akishakuzoea akaonja nje hauoni shida kukuondoa kisa Cha kufaidi penzi jipya.
Yaani Kuna mwanamke wa jamii fulani kukuachana na wewe/kukua/ kukuacha kisa Cha kupigika Ni rahisi mno Kama kubadilisha underwear jamani.
 
Vp ikifikia ndan hakuna mtu anashida na mwenzie hasa kitandan yan mnalala kitanda kimoja lakini kila mtu yuko busy na cm yake, mnawatoto lkn hamna hisia yan mnaweza maliza hata mwezi hakuna kusemeshana hata salam na mnalala kitanda kimoja...ila matumiz jamaa anatoaa kama kawaida
Simple tu!

Kama baba wa familia anatoa kila kitu kwa familia yake it's obviously ana-appreciate uwepo wa huyo anayempa asingetoa kama hamtaki ili aondoke so inabidi sasa kama hii inakuhusu wewe ujichunguze kama una mdomo sana punguza na acha ujuaji mbele ya mumeo akikwambia kitu mshauri au msikilize kwa utulivu atajirudi na maisha yataendelea kama zamani.
 
Mwanaume wa kweli hajutii maamuzi ya kuachana na mwanamke asiyeeleweka[emoji23][emoji23].

Kuna hawa wanao complain sjui kuhusu mgao wa mali na mazagazaga ya kiuchumi, hivi mwanaume uliyeteseka kutafta vitu vya thaman unaanzaje kugawana na mtu unayeachana nae ilihali umevitafta wew?

Ujinga ni pale mkiwa kwenye ndoa mnajisahau na kujikuta malaika kwa kuanza kushare kila kitu, mnajenga pamoja, mnanunua magari pamoja, wengine mpka card zenu za benk mnashare na wake zenu, si vibaya lkn hil jambo litakuja kukucost na utajuta sana.

Tunawashauri kila siku, owa ukiwa umetimiza angalau nusu ya ndoto zako, huyo mke unayeoa asijekuwa sehem ya wew kutimiza ndoto za mafanikio kiuchumi bali akute ushafanikiwa au aje amalizie gap dogo tu.

Owa ukiwa na mali zikiwa zimeandikishwa na wanasheria mmiliki halali weka hata wazaz, kama huna weka ndugu&jama unaowaamini ama baazi ya mali zako zifiche hata huyo msaliti wako wa baadae asijue unamiliki mali kiasi gani.

Dunia imeharibika siku hizi wanawake wanaingia ktk ndoa kimkakati sana, wapo wanaoingia kwa maigizo waje wachume na kupotea kuwarudia mabwana zao wa mwanzo(wadangaji)

Pia wapo wanaohusishwa na familia zao kuingia ktk ndoa kimkakati kwenda pia kuwinda mali, na baada ya kupata ni majuto kwa mwanaume hufuata kama sio kurogwa na kugeuzwa msukule ama kufa na vitu vyako vinyang'anywe.

Wapo ambao kwa tamaa zao tu za kingono huamua kujitoa ktk ndoa na kuingia kimahusiano na wanaume wengine, so hata hapa lazma mali zako zigawanywe kwa masingizio ya sheria na upuuzi mwingine.

Unatakiwa kujua mke uliyeoa si ndugu yako na hatowai kuwa ndugu yako kamwe ndiomaana unashiriki nae matendo ambayo huwezi kuyashiriki na ndugu zako, hivyo hata imani kwake iwe kwa kiwango ambacho hakitakuumiza.

Ishi nae kwa akili hatakama akili huna ila jitahidi kuelewa kuwa huyo hutoishi nae milele taka usitake kwa wanawake wa kizaz hiki, kuachana nikama sunna kwao.

Hakikisha furaha yako unaijenga nje ya mategemeo ya mtu, narudia tena, hakikisha mali zako hazitomuhusu siku mkiachana maana atakurudisha nyuma mafanikio uliyopambania muda mrefu.

Wabishi ndio waliwao
Ila hii dunia kuna watu wandava sana😂😂… sasa huoni unafanya yote haya tayar una mentality ya kuachana.. yan unakua akili yako umeitega bomb at any time linalipuka tu.. yan unakua unaoa ukijiandaa kuachana.. sasa ya nn yote hayo ni bora sasa usioe tu..
 
Unatakiwa kujua mke uliyeoa si ndugu yako na hatowai kuwa ndugu yako kamwe ndiomaana unashiriki nae matendo ambayo huwezi kuyashiriki na ndugu
Mkuu umeandika vizuri na points ziko konki Ila nahitaji kusisitiza hapa.
Hapa waarabu nimeona babu zao waliona mbali. Yanai mkioana ndugu ama ujamaa wa karibu Ni ngumu kufanyiana unyama wowote Mana mbali na kuwa na mahusiano ya ndoa kwanza mna ujamaa Kama umeoa mtt wa anko,anti, mamdogo,bamdogo,
Mana hata Mali zenu hazitawanyiki zinabakiaga ndani ya Koo yenu.
Mie wakati nataka kuoa Kuna binti mmoja Ni wa shangazi Ila shangazi wa babu mdogo nilimpenda mno na nilimuelewa mno na niliwaambia kuwa nahitaji nimuoe.
Mpaka nikawa napanga tufanye kificho tusepe mbali tunakuja kurudi baada ya 20yrs tayari tuna watt sema wazee wakakataa nikawasikiliza Mana duu basi tu.
Jamani tukubali tukatae Kuna watu wanakulana Kama binamu hata watt wa baba zao wadogo wakubwa wapo wanaokulana sema kwa kificho.
Kuna jamaa mmoja alidai alikutana binti wa baba yake mdogo walikuwa wanaishi Nairobi hawajai kukutana walipokutana home nakuambia jamaa akili ziliruka akamtongoza huyo alisema ambao wapo kimya.
Mie naona mkichukuana mnaofahamiana ule umafia Ni ngumu mno kufanyiana.

Sasa wewe umetoka huko kijijini mangucha imekuja dar kimaisha ama shule umekutana na mdada anatokea huko liwale Lindi Kijiji Cha mpiga miti kwa Bibi likunji Ni mmwera mkuu hamfahamiani Koo zenu hata dna za kwao huzijui.
Kimuonekano amekuvutia labda kwenye kazi zenu Kika siku mnakutana unamkuta duka la kaka yake hapo kariakoo,ama mmekutana hapo chuoni ,ama kazini Ana mshahara mzuri anatakata so unajitosa kidogo kidogo mnakulana mnanogewa unatangaza ndoa.
Sasa hayo mapenzi yakija kuisha ndio utajua kuwa ulifanya maamuzi ki emotional ama irrational decisions and sio rational decisions.
Utajilaumu wewe basi na ukikumbuka mama yako alikusahauri kitu Ila ukajiona kuwa umekuwa westernized ama umepata elimu yao , tamaduni zao, Ila Sasa Africans culture don't play in your side so una neglect muda huo unasapotiwa na mawazo ya wasomi wenzako ambao Ni wa kisasa mnadanganya kuwa hizo Ni local beliefs/ideas zimeshapitwa na wakati.
Kwa baadaye lazima utajiona wewe ndiye mjinga na elimu yako ya msingi.
Lawino,songs of lawino na ocol na Clementina mie nilijua ni story tu za watu wasomi waafrika wa zamani kumbe nilikuja kujua Ni sisi wenyewe
 
Lengo kuu la talaka ni Ili watoto wakose direction
 
Mkishaachana tayari ushapanda roho ya kuachana ambayo watoto ni lazima wairithi. Ni kama ilivyo usingle mother, ukizaa binti tegemea nae kuja kuwa single labda tu akate ile chain
 
Yaani navyozidi kuisoma jamii nyingi na dunia kuujumla. Najiona sikufanya chaguo baya kurudi home kuoa.
Sie huwa hakunaga talaka.
Yaani unamuacha mke anaishi tu na watt basi wewe unaoa mke mwingine maisha yanaenda.
Yule anakuwa jina kuwa Ni mke wa fulani.
Hata akienda kuolewa ama kula Bata maisha yake yote Ila mwisho wa siku atarudi tu kwao na mwanaume ndiko atakakozikwa.
Mana Tayari kwao walimfanyia Ile inaitwa send OFF.
Mnajua Mana ya Hilo neno lakini ama huwa tunalishadadia kuwa leo anafanyiwa send off jamani.
Kwa anayejua Mana ya English nadhani atanielewa.
Ukuriana huwa Hakuna talaka eti mke ndoa imekushinda unarudi kwenu,utakimbizwa na mapanga na marugu,thus wanawake wa kikurya awakimbii nyumba utakimbia mwanaume ondoka hata miaka 20 itakuta still nyumba ipo imara.
 
Kutoa talaka sio Jambo la kufurahisha hata kidogo, kwani mwenye anatoa anaumia na anaepokea anaumia vile vile,hakuna mtu ambaye Ni mbaya totally
Kunayo mazuri kadhaa anakua nayo lakini anapokua anakosea mtu unaamua kumhukumu kwa makosa yake ya mwanzo na mnadivorce ,
Soon mnapoachana ndipo utaanza kugundua gap imejitokeza,utaanza kugundua baadhi ya action nzuri alzokua nazo mtalaka wako,utaanza kuumia na wewe japo utajipa matumaini kwa kujikumbusha mabaya yake,
Apo Kama mlikua na watoto hio Ni mada nyingine kabsa na changamoto zake Ni hazielezeki,.
Talaka Ni chungu kwa anaetoa na anaepokea ,tofauti yake Ni mtoaji atakua anafrai wakati wa kutoa while mpokeaji anaumia ila baada ya muda Ni either wote watakua wanaumia au mpokeaji atakua ashapona na alietoa anajutia.
Kutoa talaka sio Jambo la kufurahisha hata kidogo, kwani mwenye anatoa anaumia na anaepokea anaumia vile vile,hakuna mtu ambaye Ni mbaya totally
Kunayo mazuri kadhaa anakua nayo lakini anapokua anakosea mtu unaamua kumhukumu kwa makosa yake ya mwanzo na mnadivorce ,
Soon mnapoachana ndipo utaanza kugundua gap imejitokeza,utaanza kugundua baadhi ya action nzuri alzokua nazo mtalaka wako,utaanza kuumia na wewe japo utajipa matumaini kwa kujikumbusha mabaya yake,
Apo Kama mlikua na watoto hio Ni mada nyingine kabsa na changamoto zake Ni hazielezeki,.
Talaka Ni chungu kwa anaetoa na anaepokea ,tofauti yake Ni mtoaji atakua anafrai wakati wa kutoa while mpokeaji anaumia ila baada ya muda Ni either wote watakua wanaumia au mpokeaji atakua ashapona na alietoa anajutia.
Niseme ukweli nipo katika harakati za either nitoe talaka ama nipewe talaka nikiwa nimezaa nae watoto wawili.

sasa tumetengana imetimia mwaka tangu mgogoro uanze kimsingi napitia wakati mgumu saana kwakua tuna watoto wadogo wawili na mwenzangu anashindwa kujizua na kutumia watoto kama sehemu ya kuniadhibu baada ya kuona sijaonesha uteyari wa kuridisha moyo kutoka na kiburi chake na mabaya aliyonitendea...

katika mapenzi hamna kitu nakumbuka saana kwake zaidi ya kusema tungekua pamoja watoto wasingekua katika hali ya mfadhaiko wa kisaikolojia walio nao sasa hasa binti yetu wa miaka 7.
Nakiri kabisa TALAKA ni uzoefu MBAYA MNOO niliyo na ninao pitia kuliko
 
Back
Top Bottom