Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Mimi siyo muumini wa kuamini utengano wa talaka kama wahusika wameshafikia hatua ya ku-share damu kwa kuwa na watoto/mtoto!

Kama hamjafika hatua hiyo hata mkiuwana uwaneni tu ninyi hamna baya,mimi naamini nilie nae ni sahihi style yangu ya maisha ni Mungu mbele na naongoza heshima kwamba sionyeshi hali yoyote ya mashaka kwa mwenzangu so na yeye automatically ameenda kama mimi.
Mkioana nyota zenu zinafanana ni ngumu talaka mtazisikia kwa wengine.Mtaishi zaidi ya ndugu plus kufanana sura.
 
Habari wanabodi wenzangu,Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka.

Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufankiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka.Changamoto na Faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwann wametoa talaka au lupewa talaka.,lkn pia kuna wengine hufikia mahali husema bora alivyo acha au kuachika.

Wengine wanashindw kumove on wanabaki na majeraha milele, wengine hupoteza watoto, mali na kazi bada ya talaka.

Katibuni wadau tuliowahi kuingia kwenye na kukutana na talaka au kuachana na wenza wetu ambao tulidhani tutazikwa nap.

Pia wapo watoto humu ambao walishuhudia wazazi wao wakipeana talaka ,je maisha yalikuaje??
Tupe Kwanza uzoefu wako wewe kuhusu talaka
 
Yaani navyozidi kuisoma jamii nyingi na dunia kuujumla. Najiona sikufanya chaguo baya kurudi home kuoa.
Sie huwa hakunaga talaka.
Yaani unamuacha mke anaishi tu na watt basi wewe unaoa mke mwingine maisha yanaenda.
Yule anakuwa jina kuwa Ni mke wa fulani.
Hata akienda kuolewa ama kula Bata maisha yake yote Ila mwisho wa siku atarudi tu kwao na mwanaume ndiko atakakozikwa.
Mana Tayari kwao walimfanyia Ile inaitwa send OFF.
Mnajua Mana ya Hilo neno lakini ama huwa tunalishadadia kuwa leo anafanyiwa send off jamani.
Kwa anayejua Mana ya English nadhani atanielewa.
Wewe utakuwa mkurya au jamii inayoendana na kabila hilo
 
Vp ikifikia ndan hakuna mtu anashida na mwenzie hasa kitandan yan mnalala kitanda kimoja lakini kila mtu yuko busy na cm yake, mnawatoto lkn hamna hisia yan mnaweza maliza hata mwezi hakuna kusemeshana hata salam na mnalala kitanda kimoja...ila matumiz jamaa anatoaa kama kawaida
Hii mbaya xn
 
Big up sana binafisi Bado sijaoa ila hata mimi nitarudi nikaoe home kabila langu .
Uliyo yaeleza na Kwa jamii yetu wakurya ni hivyo hivyo 💯 .
Nimeishi ..... Dodoma ,kigoma,songea,mbeya ,iringa ila kote huko sijaona wenye tamaduni BORA kuliko za Nyumbani .
Tatigha mura weito ndoa za kikurya ni ngumu, sasa kwa mfano mshaachana miaka 20 ukoo katangatanga, kazalishwa na kila aliye na mbegu, maisha yamempiga amepauka adi moyo eti ndo anarudi kwako na wewe tayari ushaoa una watoto, anakuja na watoto zake 5 au 6 eti anasema ni wanao kheeeeee na majina kawaita ya upande wako arooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
N
Watt si Ni wa kwako. Yaani watt wao hawnaa habari kama mmeachana wao bado Wana mama yao na baba yao.
Kuachana Ni kutoshiriki tendo basi. Ila mke anahudhuria kwenu Kama kawaida,yeye anaweza akawa anaishi huko na jibaba. Anakuwa free Kama molecules.
Watt wakitaka waende kwa mama ama kwa baba Ni option yao.
Huyo mama lazima atazikwa kwetu tu.
Mana ujue sir mke akishaolewa huyo Ina Mana amekuwa sehemu ya ukoo wetu.
Kwani huku kwenu hamkosani hata ndugu wa damu moja Sasa iweje mke yeye aonekane Kama sio mwanadamu Kama wengine walioko kwenu.

Yaani narudia kuulizia unajua Mana ya send off lakini.
Ama Ni Ile watu wanaipapatikia tu wanafurahi party.
Ila mke akishakubali kuolewa Ina Mana amebadili asili yake na ndio Mana kwao wanamtuma mazima yaani no come back.
Akishatoka kwao Hana chake Tena.
Ila Kuna wengine nasikia bado lile geto lake linabakia,na akifa anaenda kuzikwa kwao.
Yaani mke kumuoa Ina Mana Ni mtu unakuja kumpanda kwenye ukoo wenu sijui Kama unanielewa.
Bianfsi naikubali jamii mno pamoja na kuzunguka dunia yaani nilirudi Kijijini nikajadiliana na wazazi Mana mke wa kuoa sio wa kufaki mkuu siku moja yaani Ni mazima so ukoo wake lazima uchekiwe kuanzia huko nyuma kabisa kabla hujazaliwa ama babu yake ajazaliwa ili Ile inherited history ya ukoo wake Mana iko clear and cream.
Hii Ni baada ya kuwa nimesoma bailojia kidato Cha nne masuala ya DNA nikaanza ku relate mchakato wa kumpata binti wa kuolewa kule home unavyofanyikaga. So Nika appreciate wazee bila hata ya kushikiwa fimbo.

Pia Kuna kitu kinaitwa LAW OF LARGE NUMBERS.
Hii iko ivi huwezi kusema ama ku draw conclusion ya kitu fulani just for small sample space ya population.
Mfano Kama unatafuta mean ya utajiri wa watanzania let us say tuko 60M ,wewe unafanya research ama sample ya watu milioni 20 mie nikafanya 45M mie nitakuwa na jibu sahihi yaani ile mean inaweza ika approach mean ya population nzima ya jamii ya kitanzania.
Mfano coin flip Ni 50/50 probability Ila Sasa wewe ukifanya trials like 10 unaweza ukapata head 8 na tails 2 ukadai kuwa coin flip sio fair.
Inatakiwa ufanye sample nyingi mno like 100 aliyefanya trials like 100 anaweza akapata heads 54 na tails 46 Ila Sasa sema mwingine akafanya Mara 100000 ama alfu kumi atakaribia kupata jibu ambalo linakaribia 50/50 Mana ukifanya trials chache unaweza ukakutana na kichwa hata Mara 15 hujakutana na mkia so unaweza ukaanza ku doubt mkuu Ila bado Ni 50/50 game.
So hii namaanishaje wazee Wana sample space kubwa mno tofauti na sie ambao unakuta tumeishi miaka below 30 tunaohutaji kuoa.
Mana wazee wameishi muda mrefu wameona mengi mno.
So wao ku draw conclusion yao itakuwa Ina accuracy kubwa mno kuliko ya kwetu ambao bado hutajakutana na events nyingi kwenye life letu mpaka tuweze kuongea kitu Cha ukweli.

Hii kanuni inatumika hata na insurance companies like health insurance,Car insurance ,life insurance,risks insurance in construction industries,
Kwa wale waliosoma statistics wanajua ninachoongea na masuala ya probability kwa Mana ya mathematics.
Pia hii Ni career inasomwa sijui inaitwa actuarial science.
Wakati natoka udsm ndio walikuwa wameanzisha pale CoNAS.
Nmekusoma mkuu,
 
P
Niseme ukweli nipo katika harakati za either nitoe talaka ama nipewe talaka nikiwa nimezaa nae watoto wawili.

sasa tumetengana imetimia mwaka tangu mgogoro uanze kimsingi napitia wakati mgumu saana kwakua tuna watoto wadogo wawili na mwenzangu anashindwa kujizua na kutumia watoto kama sehemu ya kuniadhibu baada ya kuona sijaonesha uteyari wa kuridisha moyo kutoka na kiburi chake na mabaya aliyonitendea...

katika mapenzi hamna kitu nakumbuka saana kwake zaidi ya kusema tungekua pamoja watoto wasingekua katika hali ya mfadhaiko wa kisaikolojia walio nao sasa hasa binti yetu wa miaka 7.
Nakiri kabisa TALAKA ni uzoefu MBAYA MNOO niliyo na ninao pitia kuliko
Pole, nenda kwa viongozi wa dini wakushauri
 
Mwanaume wa kweli hajutii maamuzi ya kuachana na mwanamke asiyeeleweka[emoji23][emoji23].

Kuna hawa wanao complain sjui kuhusu mgao wa mali na mazagazaga ya kiuchumi, hivi mwanaume uliyeteseka kutafta vitu vya thaman unaanzaje kugawana na mtu unayeachana nae ilihali umevitafta wew?

Ujinga ni pale mkiwa kwenye ndoa mnajisahau na kujikuta malaika kwa kuanza kushare kila kitu, mnajenga pamoja, mnanunua magari pamoja, wengine mpka card zenu za benk mnashare na wake zenu, si vibaya lkn hil jambo litakuja kukucost na utajuta sana.

Tunawashauri kila siku, owa ukiwa umetimiza angalau nusu ya ndoto zako, huyo mke unayeoa asijekuwa sehem ya wew kutimiza ndoto za mafanikio kiuchumi bali akute ushafanikiwa au aje amalizie gap dogo tu.

Owa ukiwa na mali zikiwa zimeandikishwa na wanasheria mmiliki halali weka hata wazaz, kama huna weka ndugu&jama unaowaamini ama baazi ya mali zako zifiche hata huyo msaliti wako wa baadae asijue unamiliki mali kiasi gani.

Dunia imeharibika siku hizi wanawake wanaingia ktk ndoa kimkakati sana, wapo wanaoingia kwa maigizo waje wachume na kupotea kuwarudia mabwana zao wa mwanzo(wadangaji)

Pia wapo wanaohusishwa na familia zao kuingia ktk ndoa kimkakati kwenda pia kuwinda mali, na baada ya kupata ni majuto kwa mwanaume hufuata kama sio kurogwa na kugeuzwa msukule ama kufa na vitu vyako vinyang'anywe.

Wapo ambao kwa tamaa zao tu za kingono huamua kujitoa ktk ndoa na kuingia kimahusiano na wanaume wengine, so hata hapa lazma mali zako zigawanywe kwa masingizio ya sheria na upuuzi mwingine.

Unatakiwa kujua mke uliyeoa si ndugu yako na hatowai kuwa ndugu yako kamwe ndiomaana unashiriki nae matendo ambayo huwezi kuyashiriki na ndugu zako, hivyo hata imani kwake iwe kwa kiwango ambacho hakitakuumiza.

Ishi nae kwa akili hatakama akili huna ila jitahidi kuelewa kuwa huyo hutoishi nae milele taka usitake kwa wanawake wa kizaz hiki, kuachana nikama sunna kwao.

Hakikisha furaha yako unaijenga nje ya mategemeo ya mtu, narudia tena, hakikisha mali zako hazitomuhusu siku mkiachana maana atakurudisha nyuma mafanikio uliyopambania muda mrefu.

Wabishi ndio waliwao
Yaan ni bora mali zako mtu mmoja akazijua hata mkiachana akapata kidogo maana ana watoto wako, wewe tafuta mali ukiandika ndugu zako, siku uko akhera madukani umekaa zako unamwagilja moyo ushuhudie vile watoto wako wanateseka juu ya hizo mali tena kina shangazi sjui ba mdogo hawajui lolote kuhusu mtoto wa marehemu, au inatokea unaandika umiliki ni mzee wenu, akikata kamba familia inasimama na mali zilizo kwenye mandishi ndo utajua hujui
 
Tatigha mura weito ndoa za kikurya ni ngumu, sasa kwa mfano mshaachana miaka 20 ukoo katangatanga, kazalishwa na kila aliye na mbegu, maisha yamempiga amepauka adi moyo eti ndo anarudi kwako na wewe tayari ushaoa una watoto, anakuja na watoto zake 5 au 6 eti anasema ni wanao kheeeeee na majina kawaita ya upande wako arooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣


😂😂😂😂 Tatigha bhono niyeke turakore. Haya mambo ni magumu kikubwa ni kuomba tu.
 
😂😂😂😂 Tatigha bhono niyeke turakore. Haya mambo ni magumu kikubwa ni kuomba tu.
Aaghhh mila zingine bhana eti faida kubwa apo mwili kuzikwa alipoolewa, kwaivo kaburi ndo faida unabaki nayo na watoto wa wanaume wenzio which is ni ngumu kuwalea kama wanao wa kuzaa
 
Niseme ukweli nipo katika harakati za either nitoe talaka ama nipewe talaka nikiwa nimezaa nae watoto wawili.

sasa tumetengana imetimia mwaka tangu mgogoro uanze kimsingi napitia wakati mgumu saana kwakua tuna watoto wadogo wawili na mwenzangu anashindwa kujizua na kutumia watoto kama sehemu ya kuniadhibu baada ya kuona sijaonesha uteyari wa kuridisha moyo kutoka na kiburi chake na mabaya aliyonitendea...

katika mapenzi hamna kitu nakumbuka saana kwake zaidi ya kusema tungekua pamoja watoto wasingekua katika hali ya mfadhaiko wa kisaikolojia walio nao sasa hasa binti yetu wa miaka 7.
Nakiri kabisa TALAKA ni uzoefu MBAYA MNOO niliyo na ninao pitia kuliko
Yaani kwa upendo kwa watoto wako usitoe talaka. Kubalianeni na huyo mke arudi Ila kama mmeshindwa tenganeni vyumba Kwa muda huku mkitafuta Suluhu. Talaka ni mbaya mno. Huyo mtoto wa like ataumia Sana. Unajua mabinti zetu wanatupenda Sana Sisi Baba zao. Please, tulia. Ndoa si lelemama. Tunamshukuru Mungu tumetoka huko na sasa tumezeeshana. Ndoa mwaka wa 1-5 ni Shida, 6-10 umakini zaidi, 11-15 mnazoea kiasi vurugu, 16-20 mnaanza kukomaa, 21-25 unaanza kutua mizigo ikiwemo kusomesha bàadhi ya watoto, 26 plus yaani mnaanza penzi upya maana wote mnakuwa stress free. Hapa hata mwenzio akisafiri utatamani umfuate huko aliko. Hivyo ndoa siyo peremende na lazima mwanaume uwe ngangari.
 
Wewe tangaza kuwa jimbo lipo wazi watu tutume maombi bwana....mtoto wikend yenye baridi namna hiii unatakiwa uwe unakumbatiwa
to yeye NAKAZIA Mahitaji ya kihisia ni muhimu katika kuimarisha utendaji wako wa kila siku...
wapo watu wazuri wameumbwa kwaajili yako,take time rethink to revive to support your mental and psychological health..

wish u all the best <3
 
to yeye NAKAZIA Mahitaji ya kihisia ni muhimu katika kuimarisha utendaji wako wa kila siku...
wapo watu wazuri wameumbwa kwaajili yako,take time rethink to revive to support your mental and psychological health..

wish u all the best <3
Mwambie bwana mrembo huyu. Kuoata zile protein za mwanaume anagalau mara tatu kwa wiki zinabkresha mwili na kukuongezea miaka ya kuishi hapa duniani
 
Harakati za penzi jipya ni sumu kali sana kwa ndoa nyingi, mume au mke unakuta haambiliki kisa mchepuko mpaka anatoa au kudai talaka.

Huko anakwenda napo baada ya muda penzi lina expire huku majuto yakianza. Jambo la muhimu ni kukubali na kutambua kwamba zile hisia kali za mapenzi zinatokana na chemical reactions. Mkishakua pamoja kwa muda mrefu uzalishaji wa ile kemikali unashuka na hisia zinakua za kawaida .

Ndoa ni zaidi ya hisia na hapo zamani ilikua ni lifetime commitment, siku hizi zina expire date ya miaka mitano. Ndoa kudumu lazima mmoja avae mabomu kuipigania kwa hali na mali, omba Mungu upate mwenza wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom