Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Mkioana nyota zenu zinafanana ni ngumu talaka mtazisikia kwa wengine.Mtaishi zaidi ya ndugu plus kufanana sura.
 
Tupe Kwanza uzoefu wako wewe kuhusu talaka
 
Wewe utakuwa mkurya au jamii inayoendana na kabila hilo
 
Hii mbaya xn
 
Tatigha mura weito ndoa za kikurya ni ngumu, sasa kwa mfano mshaachana miaka 20 ukoo katangatanga, kazalishwa na kila aliye na mbegu, maisha yamempiga amepauka adi moyo eti ndo anarudi kwako na wewe tayari ushaoa una watoto, anakuja na watoto zake 5 au 6 eti anasema ni wanao kheeeeee na majina kawaita ya upande wako arooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
N
Nmekusoma mkuu,
 
P
Pole, nenda kwa viongozi wa dini wakushauri
 
Yaan ni bora mali zako mtu mmoja akazijua hata mkiachana akapata kidogo maana ana watoto wako, wewe tafuta mali ukiandika ndugu zako, siku uko akhera madukani umekaa zako unamwagilja moyo ushuhudie vile watoto wako wanateseka juu ya hizo mali tena kina shangazi sjui ba mdogo hawajui lolote kuhusu mtoto wa marehemu, au inatokea unaandika umiliki ni mzee wenu, akikata kamba familia inasimama na mali zilizo kwenye mandishi ndo utajua hujui
 


😂😂😂😂 Tatigha bhono niyeke turakore. Haya mambo ni magumu kikubwa ni kuomba tu.
 
😂😂😂😂 Tatigha bhono niyeke turakore. Haya mambo ni magumu kikubwa ni kuomba tu.
Aaghhh mila zingine bhana eti faida kubwa apo mwili kuzikwa alipoolewa, kwaivo kaburi ndo faida unabaki nayo na watoto wa wanaume wenzio which is ni ngumu kuwalea kama wanao wa kuzaa
 
Yaani kwa upendo kwa watoto wako usitoe talaka. Kubalianeni na huyo mke arudi Ila kama mmeshindwa tenganeni vyumba Kwa muda huku mkitafuta Suluhu. Talaka ni mbaya mno. Huyo mtoto wa like ataumia Sana. Unajua mabinti zetu wanatupenda Sana Sisi Baba zao. Please, tulia. Ndoa si lelemama. Tunamshukuru Mungu tumetoka huko na sasa tumezeeshana. Ndoa mwaka wa 1-5 ni Shida, 6-10 umakini zaidi, 11-15 mnazoea kiasi vurugu, 16-20 mnaanza kukomaa, 21-25 unaanza kutua mizigo ikiwemo kusomesha bàadhi ya watoto, 26 plus yaani mnaanza penzi upya maana wote mnakuwa stress free. Hapa hata mwenzio akisafiri utatamani umfuate huko aliko. Hivyo ndoa siyo peremende na lazima mwanaume uwe ngangari.
 
Wewe tangaza kuwa jimbo lipo wazi watu tutume maombi bwana....mtoto wikend yenye baridi namna hiii unatakiwa uwe unakumbatiwa
to yeye NAKAZIA Mahitaji ya kihisia ni muhimu katika kuimarisha utendaji wako wa kila siku...
wapo watu wazuri wameumbwa kwaajili yako,take time rethink to revive to support your mental and psychological health..

wish u all the best <3
 
to yeye NAKAZIA Mahitaji ya kihisia ni muhimu katika kuimarisha utendaji wako wa kila siku...
wapo watu wazuri wameumbwa kwaajili yako,take time rethink to revive to support your mental and psychological health..

wish u all the best <3
Mwambie bwana mrembo huyu. Kuoata zile protein za mwanaume anagalau mara tatu kwa wiki zinabkresha mwili na kukuongezea miaka ya kuishi hapa duniani
 
Harakati za penzi jipya ni sumu kali sana kwa ndoa nyingi, mume au mke unakuta haambiliki kisa mchepuko mpaka anatoa au kudai talaka.

Huko anakwenda napo baada ya muda penzi lina expire huku majuto yakianza. Jambo la muhimu ni kukubali na kutambua kwamba zile hisia kali za mapenzi zinatokana na chemical reactions. Mkishakua pamoja kwa muda mrefu uzalishaji wa ile kemikali unashuka na hisia zinakua za kawaida .

Ndoa ni zaidi ya hisia na hapo zamani ilikua ni lifetime commitment, siku hizi zina expire date ya miaka mitano. Ndoa kudumu lazima mmoja avae mabomu kuipigania kwa hali na mali, omba Mungu upate mwenza wa aina hiyo.
 
to yeye NAKAZIA Mahitaji ya kihisia ni muhimu katika kuimarisha utendaji wako wa kila siku...
wapo watu wazuri wameumbwa kwaajili yako,take time rethink to revive to support your mental and psychological health..

wish u all the best <3
Asante mkuu, barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…