😂😂😂duh!!!Tandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
mkuu ulishirikiana na majambazi. Ila story yako imenichekeshaUsiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu,,, binafsi nimewai kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi, saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, siku sita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
unaweza kushare mawili matatu kama umewai kukumbwa na mswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
hahahaha ameen.2013 Dodoma hahahaa nicheke kwanza lol..nilikutana na vibaka wa4 sehemu mbaya sana aiseee siji kusahau mida ya kama saa 4-5 hivi usiku jinsi nilivyonasuka acheni tuu MUNGU aitwe MUNGU ule ni ushuhuda tosha kwangu maana wangeweza kunicheza karata zote na kuiuza roho yangu lakini niliona mkono wa Bwana wa majeshi,. ndipo ninapokumbuka neno la MUNGU lisemalo "adui zako wakikujia kukuangamiza watatawanyika kwa njia saba"...
Kumtumikia MUNGU kuna faida.
hahahaha maliziaKawe ukwamani,
Nilikua nipo Jambo Lee na mwanangu mmoja tumekula ugimbi wa kutosha pale, tukahamia La Roca tukala mundende hadi mida ya saa 8 usiku. Yule jamaa yangu alikua anaishi kawe kulekule halafu Yuko tipsy balaa nkaona sio kesi ngoja nimsindikize magetoni kwake (mitaa ya nyuma ya myfair,ccm) mimi nirudi niendelee na cnn. Jamaa nkamfikisha salama lakini kwa taabu saana maana kuna chochoro sio za nchi hii.
Basi wakati narudi, npo kwenye chocho moja mara ghafla naona kwa mbele kundi la mtu kama 7 linakuja wengine Wana nondo, wengine visu, wengine mawe. Mmoja wapo akarusha jiwe nikakwepa, bahati nzuri hua natembea sana nunchuks zangu kiunoni muda wote. Basi nkazichomoa, nkakaa kibadachi stance nikiwasubiri wasogee...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshoo Nshooo Nshoomiileeee.1. Miaka ya 2000 mwanzoni, likizo time mshua katufata boarding school tunarudi home. Tulichelewa kuvuka boarder ya mutukula tunaitafuta bukoba... baaasi tukakutana na bonge la road block, wazee walee na SMG zao... wakapunga mkono style ya Traffic police wa awamu ya tano.. sijui mshua alitoa wapi confidence, ali reverse shangingi faster na kwa speed almost 40km/h au zaidi for about 10 minutes, akageuza huyooo tukarudi boarder tukala.. ndo ikawa pona yetu..
2. Wazee baba walikua wanammendea mshua kitambo, wakijua pesa pale ipo.. sehem ya kazi ya mshua ilikua ni polini, katika ranchi za taifa.. basi siku moja mshua kapokea mishahara ya wafanya kazi, kaenda nayo porini.. majambazi yakatonywa, yakajiandaa.. Jioni saa kumi na mbili yakatimba home na bunduki kubwa kubwa, sisi watoto hatujui A wala B. Mshua alikua katoka kaenda kupiga maji na washakji zake.. majambazi yakatukuta sisi na step mom.. yakamwambia step mom awapekele mpaka safe ilipokua, akawapeleka, sema wakashindwa kuifungua.. wakatafuta funguo wakakwama.. Mama nae hajui funguo ilipo. Wakampa kipigo cha mbwa koko lakini hakuwapa walichokitaka, kiukweli hakujua funguo ilipokuwa. Safe wakaifyatulia risasi lakini haikufunguka.. walivyoona muda unakwenda, wakabe redio, TV na jewerly wakasepa... Dingi anarudi kalewa zake, anasema funguo zilikua kwenye suruali aliyokuwa kaivaa jana yake.. suruali iko juu kwenye hook..
3. Mwaka 2016 saa nane usiku natoka zangu kula bata na wana wa TIA, nina kama mwezi nimenunua mark X.... nafika tazara taa zinawaka red, hamna magari kabisa na malori niya kuhesabu, ile nasubiria zimulike green, akatokea mtu out of nowhere anataka nishushe kioo, ana bonge la panga.. nikajaa wenge, pombe zikaniishia.. jamaa mwingine akatokea upande wa kushoto akaanza kugonga kioo kwa kitako cha bastola... mweeee, nikakanyaga mafuta gari inaondoka kwa speed matata... bahati nzuri nilikua sijaweka P(parking).. kuna semi trailer lilikua linavuka kwenda airport nililikosa kosa kuligonga.. nikanyoosha mijamaa nikaiacha haiamini kama nimeiponyoka... nilipofika buguruni sikujali kama kuna watu na magari wanavuka 24hrs... huyooo mpaka getto Tabata.. !
Sent using Jamii Forums mobile app
daaaah yaani hadi uumizwe ndio utoe kitu? wachaga bhanaa wabahiri sanaa.Du mnamo Mwaka 2007 jijini Dar kulikuwa na Ujambazi Sana
Siku mmoja tupo na washikaji mtaani tunapiga stori kwenye uwanja wa Mpira ambao upande wake mmoja una Gema/Mmomonyoko wa udongo wenye kina sio chino ya Futi 12-15
Sasa bhana wakati stori zikinoga tukasikia Mlio wa SMG zikamiminwa kama tatu hizi za Mfululizo juu kisha ikasikika sauti mmoja Kaa chini Kumbe bwana Bar iliyomita chache sana na uwanja ilikuwa imevamiwa
Yaliyojiri sasa
Sisi tuliokuwa tumekaa uwanjani tukapata na mfazaiko mkubwa maana Risasi zilipigwa kama mita 7 kutoka sisi tulipokuwa tumekaa ghafla tukakimbilia kwenye Gema lenye futi sio chini ya 12 tukajirusha kwaajili ya kunusuru Maisha yetu
tulivyofika chini halo ya kuwa tumeseleleka sana kwenye hayo maporomoko ngozi zetu zikawa zimechubuka chubuka kufika chini tukambia mbio ilipofika kesho yake kila mtu alishindwa kutembea kutokana na maumivu na michubuko na vidonda tulivyovipata!!!
Shughuli ilikuwa pale Bar sasa jamaa mmoja katika Yale majambazi akawa anapita na kiroba /salfeti akikusanya Fedha, Simu, pochi na vitu vingine vya thamani
Sasa bwana wakafika ktk meza ya mama mmoja wa Kichaga yeye na bwana wake wakagoma kutoa hela na simu jamaa wakaamua kuanza kumkata Vidole bwana wake kimoja baada chengine akakatwa vidole viwili fasta akatoa wallet na simu
mama wakichaga naye akapigwa na mapanga kichwani wakamuumiza sana akawa anavuja damu nyingi sana tukawa tumepata funzo kuwa wazee wakazi wakikutait kubali tu kuwapa kama ni pesa au simu
Aisee sito sahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Stori ndio ishaisha hapo au kuna muendelezo2013 Dodoma hahahaa nicheke kwanza lol..nilikutana na vibaka wa4 sehemu mbaya sana aiseee siji kusahau mida ya kama saa 4-5 hivi usiku jinsi nilivyonasuka acheni tuu MUNGU aitwe MUNGU ule ni ushuhuda tosha kwangu maana wangeweza kunicheza karata zote na kuiuza roho yangu lakini niliona mkono wa Bwana wa majeshi,. ndipo ninapokumbuka neno la MUNGU lisemalo "adui zako wakikujia kukuangamiza watatawanyika kwa njia saba"...
Kumtumikia MUNGU kuna faida.
Mbeya barabara ya kwenda chunya miaka ya nyuma maeneo ya kona za mkoa kabla barabara haijafanyiwa ukarabati, majambazi walikua wanatega magogo barabarani halafu wao wanajificha, ilikua haiwezekani gari kupishana kwenye eneo hilo mpaka mpigiane simu kua nani atakaeanza kupita pale hata kurudi rivasi ilikua sio rahisi na ukicheki chini kuna bonde la usangu hapa kitonga ikasomeMbona Mimi naona katumia akili za daraja LA juu kusoma mazingira na kugundua hilo ni eneo ambalo tukio limeshafanyika??Nadhani akili yako ya kulala chini ya gari wakati ujambazi ulishafanyika ndio bure kabisa!!
Huyo jamaa yuko poa sana,ni jasiri,mtulivu na ana akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah bahati umeifanya kuwa muujiza aisee2013 Dodoma hahahaa nicheke kwanza lol..nilikutana na vibaka wa4 sehemu mbaya sana aiseee siji kusahau mida ya kama saa 4-5 hivi usiku jinsi nilivyonasuka acheni tuu MUNGU aitwe MUNGU ule ni ushuhuda tosha kwangu maana wangeweza kunicheza karata zote na kuiuza roho yangu lakini niliona mkono wa Bwana wa majeshi,. ndipo ninapokumbuka neno la MUNGU lisemalo "adui zako wakikujia kukuangamiza watatawanyika kwa njia saba"...
Kumtumikia MUNGU kuna faida.
Kawe ukwamani,
Nilikua nipo Jambo Lee na mwanangu mmoja tumekula ugimbi wa kutosha pale, tukahamia La Roca tukala mundende hadi mida ya saa 8 usiku. Yule jamaa yangu alikua anaishi kawe kulekule halafu Yuko tipsy balaa nkaona sio kesi ngoja nimsindikize magetoni kwake (mitaa ya nyuma ya myfair,ccm) mimi nirudi niendelee na cnn. Jamaa nkamfikisha salama lakini kwa taabu saana maana kuna chochoro sio za nchi hii.
Basi wakati narudi, npo kwenye chocho moja mara ghafla naona kwa mbele kundi la mtu kama 7 linakuja wengine Wana nondo, wengine visu, wengine mawe. Mmoja wapo akarusha jiwe nikakwepa, bahati nzuri hua natembea sana nunchuks zangu kiunoni muda wote. Basi nkazichomoa, nkakaa kibadachi stance nikiwasubiri wasogee...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeishia hapohapo..
😃😃