Lakini miaka 25 iliyo pita, hiyo ndio ilikuwa mitaa ya wastaarabu na watu walio jiweza kimaisha, yaani hapa namaanisha Barnaba, Buzuruga, Nundu, Mecco, Nyakato sokoni na NeshonoMkuu hiyo mitaa ya buzuruga, memo, had I national vijana wezi sana. Mimi mwaka Jana mitaa niliyokuwa naishi national nyuma ya comfort hotel walinipulizia dawa wakaiba flat screen,jiko, nguo na via zangu kwenye nlishtuka SAA 3 asubuhi. Hata job nilishindwa kwenda sumu Kali sana ile.
Duhhh...
Pole sana mkuu.
Pale Mecco, vijana wengi wazee wao walijiweza miaka ya nyuma na wakajenga majumba makubwa na mazuri miaka ile kabla ya ule mtaro kujazwa na taka na kuiunganisha Kangae.
Mbaya zaidi, vijana wengi wa maeneo yale wali acha kusoma na kuendekeza urahabu kwa jeuri ya pesa za baba zao hadi wakajisahau kwamba wazee wao wamesha choka na pesa zimewaishia na nyumba zao zilisha kuwa chakavu.
Mwisho wa siku vijana wamebaki kuwa wezi, vibaka na wakabaji tupu.
Nakumbuka marehem Masubo aliwahi kuwacharanga vijana flani na beto pale Cheers
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana mkuu, maana enzi zile machimbo ya Buzuruga mitimirefu kama unatokea Mtena B, Nyasaka kwa mzee Punda milia na Gedeli ndio yalikuwa machimbo yetu ya kuvutia mboga ya Jamaica...teh[emoji23]Mkuu u mwenyeji sana huko eeeh dah kitambo hicho ilikua mitaa yetu nyakato, mecco, buzuruga, mha’ndu, gedeli n.k
Wanikute kwani umesikia mimi ni kibaka au mwizi?Na wakikukuta wewe?
Mkuu hiyo mitaa ya buzuruga, memo, had I national vijana wezi sana. Mimi mwaka Jana mitaa niliyokuwa naishi national nyuma ya comfort hotel walinipulizia dawa wakaiba flat screen,jiko, nguo na via zangu kwenye nlishtuka SAA 3 asubuhi. Hata job nilishindwa kwenda sumu Kali sana ile.
Pongezi nazipeleka kwa walinzi wetu(polisi) kwa kuweza kufanikisha upelelezi ambao ulizaa matunda, na kuwakamata wahusika wote.
Ila mkuu vipi hiyo bastola yako ilibaki salama!!!
5/5
Duh jamaa Alitaka kumla shem kimasihara!?
Sio experience nzuri Kukutana nayo, pole Sana, ila ilitakiwa ujue walijuaje una hizo fedha, lazima kuna sehemu ulifanya nazo show off wakaziona thus why walikadilia kuwa ni more than 5 million.
Duh aisee Pole sana. Majambazi na vibaka walaaniwe kwakweli.
Ila pesa zako ulizipata?
Na unahisi ni nani aliye kuwa anajua kwamba una kiasi hicho cha pesa.... Maana huyo ndie atakae kuwa mhusika no moja
Sent using Jamii Forums mobile app