Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,460
Mkuu unataka kujua hadi alikua kavaaje mda huo??!!!Kipindi unashushwa kitandani ulikuwa umevaaje? Au ulkuwa kama ulivo
Kipindi unashushwa kitandani ulikuwa umevaaje? Au ulkuwa kama ulivo
Kipindi unashushwa kitandani ulikuwa umevaaje? Au ulkuwa kama ulivo
Duhhh...
Pole sana mkuu.
Pale Mecco, vijana wengi wazee wao walijiweza miaka ya nyuma na wakajenga majumba makubwa na mazuri miaka ile kabla ya ule mtaro kujazwa na taka na kuiunganisha Kangae.
Mbaya zaidi, vijana wengi wa maeneo yale wali acha kusoma na kuendekeza urahabu kwa jeuri ya pesa za baba zao hadi wakajisahau kwamba wazee wao wamesha choka na pesa zimewaishia na nyumba zao zilisha kuwa chakavu.
Mwisho wa siku vijana wamebaki kuwa wezi, vibaka na wakabaji tupu.
Nakumbuka marehem Masubo aliwahi kuwacharanga vijana flani na beto pale Cheers
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kaka. Mungu alihakikisha analinda uhai wa familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana Kuna kibaka kachezea kichapo nusura ya Kufa. Receiption yote imechakazwa
Ni story ndefu lakini usiombe kuvamiwa maana mungu tu ndio atakunusuru.
2017 walinivamia na kufanikiwa kuiba simu smartphone 4, kiasi cha fedha na kumjeruhi kijana mmoja nilikuwa naishi nae, ila walichokipata nao hawatosahau maisha yao huko walipo.
Ila tukio hili lilinipa somo kubwa sana maishani mwangu, lilinipa heshima pia ila lilisababisha nikawa na maadai wengi sana japo walikuwa wakiniogopa tu lakini walikuwa wakinichukia.
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwa ni majira ya usiku mnene miaka ya 99 nikiwa mdogo katika mji wa tarime
mvua ikiwa ya rasharasha ikipiga mara vishindo vikali vya kuvunjwa ukuta vinasikika kila mtu anatahamaki ni kitu gani hicho
kuchakata akili kumbe ni majambazi yanatumia jiwe la fatuma kuvunja geti pamoja na ukuta
kulikuwa na frem ya duka pembeni ya ukuta mangi akaanza kupiga yowe wale jamaa wakamwambia atulie kama uji otherwise wakiingia wanaanza na yeye
usiku nikamuona mzee wangu kaamka kabeba upinde na mkuki
akawaamsha wanaume wawili wakaenda hadi getini kusubiri majambazi wavunje waingie wale nao sahani moja asee wale majambazi hawakutarajia ambush ile ile fatuma imedondosha geti tu wanakutana na mvua za mishale na mikuki hahaha
hawakutarajia iyo ambush
mzee wangu alikuwa shujaa sana r.i.p
Ni story ndefu lakini usiombe kuvamiwa maana mungu tu ndio atakunusuru.
2017 walinivamia na kufanikiwa kuiba simu smartphone 4, kiasi cha fedha na kumjeruhi kijana mmoja nilikuwa naishi nae, ila walichokipata nao hawatosahau maisha yao huko walipo.
Ila tukio hili lilinipa somo kubwa sana maishani mwangu, lilinipa heshima pia ila lilisababisha nikawa na maadai wengi sana japo walikuwa wakiniogopa tu lakini walikuwa wakinichukia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masubo alianza na biashara na uaafiri enzi za chai maharage, kisha akaja kwenye biashara ya mabondo, na wakati huo alikuwa kijana aliye tazamwa kwa jicho la wasiwasi, kisha akaja kwenye biashara ya kuuza soli za viatu toka Kenya na kabla hajafariki na kinacho semekana (kwenye mabano) alianzisha biashara ya kuuza simu na vifaa vyakeUmenikumbusha masubo enzi hizo jamaa alikuwa mtata sana, nafikiri ni moja ya watu walioanza biashara za simu mapema sana
Ingekusaidia Kama ungezingatia kishindo Cha kwenye dirisha.Bora wakuogope
Mimi nisingewekwa uvunguni wakati wa kuondoka ningewapiga Shaba maana hawakuiona
Na walikuja bila kujua nina bunduki bahati mbaya haikunisaidia kwa lolote dah hua naumia sana.
Kwa mazingira hayo hutaweza lile tendo ni saikologiko, pia hiyo adhabu ni ngumu sana kuitoa,Kanuni ya kwanza ukiwamiwa na majambazi na ukaona wamekuwahi basi unatakiwa kua mpole na kuwapa ushirikiano wote wanaouhitaji.
Majambazi hua na siraha ila huitumia tu pale wakiona usalama wao uko hatarini, zaidi zile ziraha hua ni kwa ajili ya kukutishia ili uogope, sasa ukileta mgomo hapo ndio hulazimika kutumia siraha.
Siku zote usibishane na jambazi, mpe ushirikiano wote unaohitajika, fuata maelekezo wanayokupatia.
Pia siku zote usidharau mlio/kelele yoyote isiyo ya kawaida wakati wa usiku unaousikia jirani au nyumbani kwako, hakikisha unaamka kuangalia ni kitu gani. Juzu mwezi wa 11 mwaka jana, nikiwa macho, taa inawaka chumbani kwangu na tena dirisha moja nimefungua pazia hivyo ukiwa nje unaniona, nikiwa nachat jamii forum sa 7 usiku nikasikia mlio wa kama dirisha la jikoni kwangu linavunjwa, nikapuuza nikasema itakua labda jirani yangu karudi, nikapuuzia, kumbe vibaka wanavunja dirisha waeeze kufungua mlango wa jikoni wazame ndani.
Baada ya kushindwa wakavunja grill ya jirani yangu, wakavunja mlango, wakaingia wanachukua laptop, flat ya samsung nchi 55 nshikaji alikua kainunua hata wiki haijaisha, wakachukua hela, wakaondoka, kumbe walikuja na gari hapo nje geti kubwa.
Bahati mbaya kwao ni kua niliamka kwenda kukojoa nizime taa nilale ila kabla sijapanda kulala nikaenda jikoni kuangalia, nakuta dirisha limevunjwa, mlango umelegea kama vile ulikua unachezewa, kufungua nakuta grill hangu imeng'olewa, kuangalia kwa jirani mlango uko wazi, grill imevunjwa, hapo ndio nikastuka, jirani amelala fofofo, nikamamuasha hakuamka, nikaachana nar kwanza, kisha kwangu nilikua na mshikaji kalala roon nyingine nikamuamsha, kutoka nje gari ikakimbia wakaacha mazaga yote waliokua wamekusanya nyumba za jirani zote. Hiyo ndio ikawa pona ya vitu vya mshikaji na majirani.
Vibaka wengi wa siku hizi ni washkaji tu, hawa vijana waliopenda kazi ila wanapenda kunywa na kula vizuri, kumiliki mademu wazuri nk. Mimi nikikamata kibaka/mwizi hawa masharobaro sitamuua wala kumpigia kelele, namuingiza room nampiga mashine ya kueleweka huku namchukua video kisha namuacha.