Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Root,

'Baadae wengine wakaenda kusearch vyumba vingine kulikuwa na beki 3 wakamleta chumbani hapo wameniweka uvunguni na wamenigadi na chuma kama 2'

Jenga tabia ya kusoma na kuelewa, hakuna aliposema na beki 3 nae aliwekwa uvunguni!

Vijana hizi stress zitawamaliza!
 
Ni story ndefu lakini usiombe kuvamiwa maana mungu tu ndio atakunusuru.

2017 walinivamia na kufanikiwa kuiba simu smartphone 4, kiasi cha fedha na kumjeruhi kijana mmoja nilikuwa naishi nae, ila walichokipata nao hawatosahau maisha yao huko walipo.

Ila tukio hili lilinipa somo kubwa sana maishani mwangu, lilinipa heshima pia ila lilisababisha nikawa na maadai wengi sana japo walikuwa wakiniogopa tu lakini walikuwa wakinichukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masubo huyo mkurya...haha.. Vita ni Vita Muraah
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bora wakuogope

Mimi nisingewekwa uvunguni wakati wa kuondoka ningewapiga Shaba maana hawakuiona

Na walikuja bila kujua nina bunduki bahati mbaya haikunisaidia kwa lolote dah hua naumia sana.
 
yah..Tarime miaka ya isini hadi early 2000s ..usalama ulikuwa mdogo sana..Uvamizi ulikuwa mkubwa sana na hii ilipelekea watu wenye pesa kuhamia Mwanza..Kama sio ishu ya usalama kipind kile then Tarime ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kama hautojali, kwa heshima tunaomba utupatie hii stori
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha masubo enzi hizo jamaa alikuwa mtata sana, nafikiri ni moja ya watu walioanza biashara za simu mapema sana
Masubo alianza na biashara na uaafiri enzi za chai maharage, kisha akaja kwenye biashara ya mabondo, na wakati huo alikuwa kijana aliye tazamwa kwa jicho la wasiwasi, kisha akaja kwenye biashara ya kuuza soli za viatu toka Kenya na kabla hajafariki na kinacho semekana (kwenye mabano) alianzisha biashara ya kuuza simu na vifaa vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wakuogope

Mimi nisingewekwa uvunguni wakati wa kuondoka ningewapiga Shaba maana hawakuiona

Na walikuja bila kujua nina bunduki bahati mbaya haikunisaidia kwa lolote dah hua naumia sana.
Ingekusaidia Kama ungezingatia kishindo Cha kwenye dirisha.
Pamoja na wao kuwa na silaha ungeweza kuwawahi dirishani kabla ya kuingia ungewapa upinzani kidogo ila risasi zingekuishia hapo ndipo tabu ingeanza japo.

Japo bado wasingeweza kuingia kama ungezitumia kwa mpangilio bila kupaniki kila kichwa kinachojitokeza dirishani unatembea nacho maana ukiwa na paniki unaweza kukimbia chooni na kuanza kuzipigia huko mwisho unazimaliza bila kukusaidia.

Mi nikilala huwa nahakikisha magazine zote ziko loaded



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mazingira hayo hutaweza lile tendo ni saikologiko, pia hiyo adhabu ni ngumu sana kuitoa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…