gilberto de rico
Senior Member
- Feb 7, 2019
- 164
- 121
mh
H haaaa😲🤣🤣aaaNa majambazi nayo yanacoment wapi
Sasa mtu bado kala na kunya juu [emoji23]Hawa mbwiga walivamia mbagala rangi tatu kwa Jirani yetu, baada ya kumaliza uharifu wao wakaenda jikoni Na kuchukua msosi Na kuanza kula sebuleni kama kwao vile, mwisho wakanya kwenye makochi Na kuondoka, yaani hawa watu ni laana tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu, binafsi nimewahi kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya Sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, sikusita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
Unaweza kushare mawili matatu kama umewahi kukumbwa na maswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Pia soma Fanya yafuatayo ukigundua kuna majambazi nje ya Nyumba yako
Msifiee upuuzi tu...usiombee hao jamaa watekaji wakukutee.kuna wenginee wanakulaa kibogaa....unakimbuka story ya mashiftaa kwenye maporii ya utalii..madereva wengi wa utalii waliliwaa viboga sanaaHahahahah huyu sasa ndio kidume ndago baba LA baba kama unaye hadi Leo embu MPE mambo matamu usiku wa Leo hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo upimbiii dereva gani unatembea root ya mbali bilaa spare Tyree chiefMwaka Jana Dec nimetoka Mwanza 2:30 usiku na mkonga wangu pick up cruiser kufika shy nikakuta barrier hapo nipo 1st na 2nd born wangu tukazuiliwa tukajieleza tukaambiwa Kuna utekaji mbele nikasema nitapambana nao kufika ziba kwenye 6 usiku ngoma zimejaa road na polisi wanapanga kupambana nao tukio jiran kumbe nikawaambia Nina udhuru nikatoboa, kufika igunga nikazuiliwa kuwa jamaa wapo mbele nikaosha mpaka 1 asb nipo hme dom ila nilikutana ba watu wa ajabu usiku njian wengine wamebebana, wengine Wana najembe shida niliyoiogopa Ni kwamba sikuwa na spare tairi
[emoji23] [emoji23] kicheche ndege auDaaah nlikutana na Kicheche hatar fayaaa mzee baba hadi kero
Nikachukua asali yake Weweee ni noooomaaaa Pumbavu kabsaa yule
Nlitimua mbio Nashukuru nyumba ilikua Karibu nikazama bila hodi vuupuu....
Watu kule ndan Uuuwiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii Uuuuwwiiiii woooyoo woooyoo woo-hoo yaan full purukushani
Kicheche kusikia full kelele kikakimbia
Yaan nikikumbuka Siku ile nacheka sanaa
Vicheche ni noooomaaaa sanaaa
Jaman wanaume tuwe makini Hawa viumbe ni shida ukiwaendekeza utapata aibu kwa jamii
Tangu Siku ile nilikoma sitaki shobo na kiumbe chochote nawahi home mapema
Gambe nimeacha kabsa
Ilikua singida mzee baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee Ni boyaaa Sanaa.unamkimbia mke wako unamuachaa mtoto wako kwa manyangau.Walituvamia 2016 Sept ,majambazi zaidi ya kumi walivamia nyumba nne usiku mmoja na ya kwetu ilikuwa ya pili ,walivyunja mlango wa chumba na ule wa mbao ndani ya sec Ila walitumbukia sebuleni maana nyumba yenyewe ilikuwa ujenzi haujaisha , hata milango haikuwa stable Sana ,wakapiga paaaa moja tu ,nikashituka nikachukua panga nikalikwaruzaa ukutani nikiwa kuchumbani paraaaaaa paraaa "nikawambia mkiingia tu tutaonyeshana kazi" wakaema we tulia "tunakuja'
Aisee kishindo Chao Kuna friji lilikuwa kwenye korido walilidondosha kulee vyakula hukooo mayai hukooo yaani ,umeme wakakata wakawa ma matochi makali balaaa ,Sasa mi kuona vile nikapanda juu kwenye makenchi maana palikuwa wazi ..wakazama chumbani wakamkuta wife kakaa tu kitandani hajui afanye Nini mi nipo kwa juu tu naangalia ,maana nilivyowachimba mkwara wangenishilka wasingeniacha hai...wakamwambia wife tunataka pesa akasema Hana chochote wakamwambia lete pochi ya kazini akawapa ,akawapa simu zake zote ,pochi ilikuwa na elfu tano ,wakasema unatuchezea wakaenda chumbani kwa mtoto wakamchukua wakamleta kwa wife , mbele yake wakamwekea panga mtoto shingoni wakasema tunahesabu Hadi kumi ...
Wakaanza walivyofika tano nikawambia chukue suruali Ina pesa hapo kwenye kochi wakachukua kulikuwa na laki mle ...basi majirani wakawa wameshutuka wakapiga filimbi wakasepa ,wakaenda kuvamia nyumba zingine 2 ...toka kilindi hicho huwa sila hata Sasa hivi nasikilizia kimtindo ....na nimefuga mbwa wa kunishtua
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani anapenda kufa?Wee Ni boyaaa Sanaa.unamkimbia mke wako unamuachaa mtoto wako kwa manyangau.
Demu[emoji23] [emoji23] kicheche ndege au
hahaha ulibaka au ilikuajeDemu
Sijakuelewahahaha ulibaka au ilikuaje
Sikuwa na tairi uchwara so nilijiamini kupita kiasi na nilienda mpaka Dar bila spare tyre uhenga unasaidia dogoHuo ndo upimbiii dereva gani unatembea root ya mbali bilaa spare Tyree chief
huyo kicheche (demu) ulimbaka au ilikuaje mpaka akaleta mbangaSijakuelewa
Wapi nimesema nimebaka?huyo kicheche (demu) ulimbaka au ilikuaje mpaka akaleta mbanga
Hahahahahah!!Tandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana