Tukutane hapa tuliowahi kuwakimbia wanawake

Heeeeehhh.kumbe ndiyo ulinikimbia.kwa style hiyo lohh mungu na akusamehe!!![emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Huu uzi unawahusu vijana wa dotcom maana enzi zetu hizo simu zitoke wapi? Mwendo wa kuandika barua tu na inapitia kwa watu mpaka 3 imfikie muhusika ila ajabu siri hazivuji,
Vijana wa sasa wanapeana namba wawili tu ila mji mzima wanajua kinachoendelea
 
hahahahaaaaa mkuu hadi aishi krimu ilikutoa nduki!!!!

Hahaa!mkuu complicator acha tu,ukata wa chuo si waujua usipokuwa mbanizi utalia!Nikiwa mwaka huohuo wa 1 nilipata kisanga kingine.Nikiwa hosipitali ya chuo akajitokeza mlimbwende ambaye hakuwa mzawa wa hapa kwetu.Foreina ndivyo tulivyowaita.UMBILE lake kubwa,mrefu kama mlingoti.Kwa kumuangalia ni kama alikuwa na asili ya msumbiji hivi...utamaduni wa mavazi yake ulikiacha kinywa changu wazi!Alivaa kigauni kifupi chenye matirio ya taulo na juu alivaa kikaushi chepesi huku matiti yake madogo yakipepewa na kiupepo mwanana!Nikatamanj ainame nizichungulie titi,hakufanya hivyo nikalaumu ukatili wake!Mimakalio mikubwa ndani ya kivazi na lile umbile lake jamani nikakumbwa na fadhaa.Akanisogelea,pumzi zikashindana,kijasho chembamba kikanichuruzika kwapani na kutoa harufu kali ya kuudhi!Hakika nilihamanika.Nikatamani kufanya nae tendo la ngono tena pasi mutumia kondomu!Shetani baba wa maovu akanivaa.Kitu mfano wa mzizi wa kisamvu kikamea maungoni!Nikalowa chapachapa!Manii zilichuruzika...Nikachutama kaumu isishangae uume ulivyokosa staha....akachombeza..."hello uncle can show me the place where foreigners are treated"?Nikchanganyikiwa!nilimwelewa lakini ntamjibuje?mimi mwl.wa kiswahili? nikajitutumua " sorry me also is my first time to come here.I don't know of the whole process of getting treatment here...kisha nikateleza fasta!Nilisikitika tu kuitwa anko...ukali wa maisha ulifanya nionekane mtu mzima!wana rumu walicheka sana...kila nikikumbuka naishia kucheka!
 
Heeeeehhh.kumbe ndiyo ulinikimbia.kwa style hiyo lohh mungu na akusamehe!!![emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hahaa!jamani miss mbuja niwie radhi!zilikuwa nyakati ngumu sana kwangu kifedha!Nilikuwa nakula milo miwili tu kwa siku!nikaona unataka kunifilisi....nikikumbuka tu ulivyokuwa unayachezesha makalio huku ukikimbia kwa madaha aaaah!hakika najuta kukukimbia!Ningeweka mbali ubanizi yawezekana ungenipa vinono!nonino jamani....
 
kama enzi zangu nilivyokuwa choka mbaya, mtoto kaagiza chips nakula kona na namba yake nafuta
 
Hahaaaaaahaaa...ndiyo ushakosa sasa shauri yako!!!
 
Sina shaka yyt hao walikuwa mademu wa uswazi sana maana ndiyo zao kuja na 'committee'
Mm aliwahi kuja na mama zake wadogo 6 pia akafunga chips za kuwapelekea wazazi wake!Mademu wa Yombo Dovya sina hamu nao
 
Hahaaaaaahaaa...ndiyo ushakosa sasa shauri yako!!!

ooooh!nionee huruma bi.Mbuja...nimepata funzo kuwa mwanamke anapaswa kubembelezwa...nitakuwa mtumwa wako na fedha tutazifuja.Ubanizi sasa basi!nikabidhi lako pendo hutojuta daima dawamu!nimekuwa kiumbe kipya!Naam kiumbe kitambuacho thamani yako.Njoo mrembo tutopee ndani ya huba!penzi motomoto!kamshahara ka ualimu nitakukabidhi kote!Ukapangie matumizi uyapendayo.Nitafuga pia kuku wa nyama na mayai kuongeza kipato,ili usizame kwenye tanuru la ukata!Bado una rasilimali makalio imara?bado unaweza kuyatikisa kwa fujo?huku jicho remburembu la mahaba likinichombeza?jama hamasa ya kufaidi penzi lako mwanana inanitafuna....
 
Sijui unaanzaje kupeleka mashost kwenye mtoko wako tena bila hata taarifa, ni utoto mtakatifu
Kabsaaaaaaa hiiii kitu
Hua inanikera sana yan

hebu wape fundisho mashost zako
Please
 
Dear naogopa usije ukachonga mzinga bureeeeee....hahhahahaha
 
Dear naogopa usije ukachonga mzinga bureeeeee....hahhahahaha

Oooh!kipusa wangu nitakuwa wa muda tu!sitatuama milele!ukinihitaji nikupoze machofu nitatii!.Nitakuhudumia pendi yakinifu kwa kuibaiba ili mume mwenza asitubaini.
 
Sina shaka yyt hao walikuwa mademu wa uswazi sana maana ndiyo zao kuja na 'committee'
Mm aliwahi kuja na mama zake wadogo 6 pia akafunga chips za kuwapelekea wazazi wake!Mademu wa Yombo Dovya sina hamu nao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…