Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makonda huyu huyu bashite au makonda yupiNa sisi tuliosahau chenchi zetu na bidhaa za thamani ya 210, 000/= kwa makonda tuandike wapi?
🤣🤣🤣aiseeSiku Moja nilifanya Hivyo, lakini sio vizuri!
Mimi kisa changu konda alikuwa hataki abiria wa njiani, anataka abiria wanaofika anakoenda tu!!
So nilijifanya naenda huko huko!! Nilipofika kwenye mji wetu na hajadai nauli nikavizia sehemu Ina kipori pori nikaomba nichimbe Dawa tumbo linasumbumbua!
Wakasema nivumilie Bado km 1 tufike kituo mafuta! Bila wao kujua kuwa huo mtaaa ndio kwetu!! Tulipofika kituo mafuta nikajifanya naingia chooni nyuma Kuna wauza chips nikatokomea huko! Nikakata mitaa mara nasikia honi nyiiingi! Kimoyo moyo nikasema imeisha hiyoo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilishafanya hivyo mara kibao na hasa nikianzia safari njiani. Mfano riverside to simu2000 huwa silipagi. Sinza to simuHili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji.
Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho kaondoka bila hata chenji.
Wabongo aisee hatari!
Kuna siku konda kajichanganya nimempa buku akajifanya kuzunguka nayo bana we. Ile nakaribia kushuka si kanipa chenji 4,500 nilishuka kimwamba nikaenda kupata kifungua kinywa safi maana niliamka na buku 2 tu. 😂😂😂Hili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji.
Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho kaondoka bila hata chenji.
Wabongo aisee hatari!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113]Siku Moja nilifanya Hivyo, lakini sio vizuri!
Mimi kisa changu konda alikuwa hataki abiria wa njiani, anataka abiria wanaofika anakoenda tu!!
So nilijifanya naenda huko huko!! Nilipofika kwenye mji wetu na hajadai nauli nikavizia sehemu Ina kipori pori nikaomba nichimbe Dawa tumbo linasumbumbua!
Wakasema nivumilie Bado km 1 tufike kituo mafuta! Bila wao kujua kuwa huo mtaaa ndio kwetu!! Tulipofika kituo mafuta nikajifanya naingia chooni nyuma Kuna wauza chips nikatokomea huko! Nikakata mitaa mara nasikia honi nyiiingi! Kimoyo moyo nikasema imeisha hiyoo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa tunasahau sana chenchi zetu kwao.....kwahyo nasisi tukipata gep tunatembea nalo.Kuna watu ukiwa dhulumu lazima upoteze pesa nyingi zaidi siku zinazo fata ...kuweni makini
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji2]Siku Moja nilifanya Hivyo, lakini sio vizuri!