TUKUTANE HAPA: Uliwahi kujikausha kwenye daladala kama umelipa nauli wakati hujalipa?

TUKUTANE HAPA: Uliwahi kujikausha kwenye daladala kama umelipa nauli wakati hujalipa?

Kuna siku konda kajichanganya nimempa buku akajifanya kuzunguka nayo bana we. Ile nakaribia kushuka si kanipa chenji 4,500 nilishuka kimwamba nikaenda kupata kifungua kinywa safi maana niliamka na buku 2 tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16]mwamba uko vzr aseehh
 
Ni dalili au tabia ya umaskini tu kweli unaingia mitini na nauli ya daladala halafu unalaumu kwanini hupati hela nyingi. Umekosa uaminifu kwa hela kidogo, nyingi upewe upeleke wapi?
 
Hili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji.

Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho kaondoka bila hata chenji.

Wabongo aisee hatari!
Mara kibao na tena hadi nikapewa chenji ya elfu 10, kondakta akanizawadia 9600. G'mboto VIA Makumbusho. Maana siku hiyo nilikuwa na nauli ya kwenda tu.
 
Back
Top Bottom