Kuna siku konda kajichanganya nimempa buku akajifanya kuzunguka nayo bana we. Ile nakaribia kushuka si kanipa chenji 4,500 nilishuka kimwamba nikaenda kupata kifungua kinywa safi maana niliamka na buku 2 tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni dalili au tabia ya umaskini tu kweli unaingia mitini na nauli ya daladala halafu unalaumu kwanini hupati hela nyingi. Umekosa uaminifu kwa hela kidogo, nyingi upewe upeleke wapi?
Mara kibao na tena hadi nikapewa chenji ya elfu 10, kondakta akanizawadia 9600. G'mboto VIA Makumbusho. Maana siku hiyo nilikuwa na nauli ya kwenda tu.