Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Best comment, nimekuelewa sana kaka
 
Upo kama mwamba wangu sifia unavyoweza lkn harrier ukiitaja unamchafulia jina
 

Hebu tupe japo dodoso la hiyo meseji kibuti[emoji23][emoji23]
 
Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kwwli ukisikia mwanaume mwenzio kaua mwanamke wakati wanagombana wee elewa tuu jamaa alepwa maneno makali sana.
Yaani kweli ata kama umemchoma mtu ndio useme "huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni" 😭😭😭 dah inauma sana.
 
Na mwanaume anaejielewaa kamwe USIJIBUU MSG ZA MWANAMKE ANAEKUPIGA KIBUTI.

Kabisa mzee kuna demu alinambia anaonelea tuachane nanukuu..

Her: J mi nmeona bora tuachane tubaki kuwa marafiki.

Me:kimya.

Her:niko serious,sitanii kwenye hili.

Me:kimya.

Her:nashkuru kwa kunielewa haraka .

Me:kimya.

Kilichofata nikaclear namba zake,nikahamishia majeshi kwa bebe mpyaaaaa nikawa nakula zangu tu mbususu...
 

Ubabe ubabe ududu ududu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wee ni mdeadly jooo🤣🤣🤣🤣
Sasa mbona humu ndani mnajidaigi oh unajua wee mzabzab unadhani watu wote hawawezi tulia na delibolo moja....kumbe mnacheat kama kawa. Aisee nimekutamani ghafla
 
dah ni hatar sana mm nimewah kua namsubiria mazi ananiambia anakuja sasa ile wakati namsubir akaniambia atachukua kama dakik 20 hiv na hakua anakaa mbal sana na mm nikaona bora nitoke kidogo nifuate vocha dukan kidogo namuona kweny boda na mshkaji mmoja alf boda inapoelekea sipaelew nikasema ngoja nisubir dakik 20 zilivyopita napiga sim haipatikan nikanyapia ad kwa huyo mwamba maana nilikua napafaham nikakuta anatoka nje ya geto la huyo jamaa alf ni kama walikua wanazozan akarud ten nilisubir ad saa 6 usik ila hakutoka nikapata hasira sana yan nikaenda kulala japo usingiz ni kama haukuwepo kabisa yan kesho yake namchek ananiambia sor nilifichiwa sim na rafik zang nikashindwa kukuchek alf nikatumwa na boss mahal kalikua kanafanya kaz supermarket bac nikavunga kama sijui nikakaita geto ile kamefika tu nikakauliza jan kwa flan ulienda kufanya nn akashtuka kwel yan akakubal asee nilichomfanya niliingia gharama ya lak na nusu kumtibia yan lkn baada ya hapo aliacha ad kaz akaondokaga kabisa nasikia yupo moro sik iz
 
Kuna jamaa tulikuwa tukiishi nae nyumba moja ya kupanga,aligundua mkewe ametafunwa kupitia mawasiliano ya kwenye simu,jamaa alimpiga mno yule mwanamke siku hiyo,wakayamaliza Ila ndani ya wiki nzima mwanamke alikiona cha moto, walikuwa wakipiga stori wanacheka wenyewe, ghafla jamaa akikumbuka lile tukio anachange anambutua yule mwanamke,walifurahisha kwa kweli
 
Mith21:3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
Mithali 31:3
Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe.
Mithali 6:32 NEN
 
Inawezekana nimeshawahi kuchapiwa......

Ila hii ni mchapio uliotokea kwa rafiki yangu.....

Miaka ile baada ya kuanza ajira, nikiwa naishi mitaa ya Kijitonyama, mimi na rafiki yangu wa muda mrefu sana tulikuwa majirani kabisa.

Siku ya jumapili nikiwa nawaza niende kuzurura wapi jamaa akanipigia simu kuwa niende kwake ana jambo anataka nimpe ushauri.

Nilimkuta jamaa ana mchanganyiko wa huzuni na hasira; nikauliza kumetokea nini?
Jamaa akaanza kunihadithia kuwa amechapiwa demu wake asubuhi hiyo...Nikashtuka na kuuliza, vipi umefumania? akasema hapana. Nikauliza tena, sasa wewe umejuaje kuwa amekusaliti?
Yaliyotokea kwa mujibu wa maelezo ya jamaa ...
Alimpigia simu huyo demu wake jumamosi usiku kuwa aende jumpaili ili wawe wote weekend kufurahia mapenzi yao, binti akakubali kuwa angefika hapo saa mbili asubuhi.
Jumapili imefika, binti akamwambia jamaa kuwa atachelewa kidogo hivyo atafika saa nne badala ya saa mbili. Jamaa akafanya maandalizi yote ikiwa kuweka mazingira mazuri na kuandaa chakula ili aje kufurahia na mpenzi wake.
Kufikia saa nne kweli binti akafika na jamaa akampokea kwa bashaha zote; katika kukumbatiana na kubusiana wakajikuta wameshaanza foreplay, jamaa akapeleka mkono tumboni ili aelekee kwenye raha za dunia, akapitisha mkono kwenye kitovu akakutana na utelezi...
Akaendelea chini zaidi akaona utelezi unaongezeka, akaingingiza mkono kwenye chupi ndipo alipokutana na utelezi mwingi zaidi.
Kwa kuwa hiyo ilikuwa hali ngeni kwake, akaamua kumlaza binti na kumvua sketi na kisha chupi....hakuamini macho yake yaani ni mzigo wa maniii(sperm) ....
Kiufupi binti aliliwa muda mfupi kabla ya kuja kwa jamaa....
Kumuuliza binti, akasema ''I am sorry''
Jamaa akamwambia tu kuwa aondoke.......
 
Duuh uyo mwanamke chizi sio bure
 
Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…