Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kuna story humu kma Sio chai kunawatu wanapitia maumivu aisee Kwa makosa ya wengineSijapenda huo ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna story humu kma Sio chai kunawatu wanapitia maumivu aisee Kwa makosa ya wengineSijapenda huo ujinga
Best comment, nimekuelewa sana kakaWewe ni komandoo,upo very matured.....mi hata niwe na hasira vipi ila nimegundua usipokua na visasi,unaishi kwa furaha sana,........halafu kingine wanawake wanawahi kuchoka.
Kuna mabinti wanaweza kukusumbua,akitoa mimba mbili tu ama kuzaa tu,hata upewe bure huwezi kukubali.
Kama mwanaume,wekeza kwenye:-
1.Kutafuta ridhiki
2.Afya
3.Chakula Bora
4.Mazoezi
5.Utalii wa hapa na pale
6.Kusoma vitabu na kujifunza vitu vipya hasa vya sayansi na technolojia
Nakuhakikishia utakua na uwezo wa kua na mwanamke yeyote yule na hata akiondoka kwa jeuri,mukikutana tena unamsaidia tu kiroho safi na hata nyege nae huna [emoji16][emoji16]
Kama demu hukumkuta na bikra wivu unatoka wapi ikiwa ulikuta watu walishapita. Demu kama umemkuta na tobo we piga potea usithubutu kumpa moyo wako.Acheni ufala kama hukumkuta bikra wivu wa Nini kudadeki ....love partial
Upo kama mwamba wangu sifia unavyoweza lkn harrier ukiitaja unamchafulia jinaKuchapiwa bhn sio poa hii kitu sio inaconnection gani na maumivu yani kitombo anakula mtu mwingine kwa mapenzi yake alafu anaumia mwingine
Kuna manzi nilichapiwa na jamaa mmoja polisi aliliwa kweny Kweny gari IST yani mpaka leo sizikubali izo gari ndo ilikua mwisho kuwa na mawivu ya mapenzi, yani kiufupi magaidi huwa wanatengenezwa na ukiona mwanaume anatembeza sana kitombo ujue kuna tukio lilimkuta
Aise nilifanya revenge kwa wake za mapolis hadi nikajihisi na ngoma sijui nilichomoka vipi ..mapenzi ni ufala sana[emoji16]
Kuchapiwa kusikie kwa wenzio, mimi kuna demu nilimkubali sana, black beauty mmoja na shepu yake. Ila anapenda sana kuvaa nguo ndefu za kujisitiri za vitenge ni kasema hapa ni mefika duu. Kumbe bwana kuna ex wake wanakaa mtaa mmoja, wanarudiana na kuachana. Kuna dogo aliniambia ila nilikuwa ni mebanwa na kazi sikuwa na muda wa kulifuatilia.
Kuna siku nipo zangu site naona meseji ndefu ya kibuti ni kajua basi tena ni kajikaza kiume kama miezi mitatu maumivu ya kapoa. Badaa ya miezi mitano anaomba turudiane,tena ile kwa kulazimisha mara "na kuja kwako kukufanyia fujo, mara na kurudishia zawadi zako ni kiziona na kukumbuka.
Kuna kipindi nikawaza may be ni mtumie tu then ni mwache ni kaona sio fresh sababu kaka zake ni marafiki zangu,sababu kipindi na date nae nahisi kaka zake hawa kufaham. Nikaona acha ni kaushe tu, yule demu mpaka leo hii anaomba turudiane ni nilikuwa ni kimblock anabadilisha namba sasa ni meamua ni mwache akipiga siku hizi sipokei naona kachoka,ila still bado siku hizi anatuma msgs najua atachoka tu.
Ila ni kaja kugundua hamna watu wanaojua kuandika msg za kuchoma kama wanawake,hasa wakikupiga kibuti.
Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kwwli ukisikia mwanaume mwenzio kaua mwanamke wakati wanagombana wee elewa tuu jamaa alepwa maneno makali sana.Kuchapiwa kusikie kwa wenzio, mimi kuna demu nilimkubali sana, black beauty mmoja na shepu yake. Ila anapenda sana kuvaa nguo ndefu za kujisitiri za vitenge ni kasema hapa ni mefika duu. Kumbe bwana kuna ex wake wanakaa mtaa mmoja, wanarudiana na kuachana. Kuna dogo aliniambia ila nilikuwa ni mebanwa na kazi sikuwa na muda wa kulifuatilia.
Kuna siku nipo zangu site naona meseji ndefu ya kibuti ni kajua basi tena ni kajikaza kiume kama miezi mitatu maumivu ya kapoa. Badaa ya miezi mitano anaomba turudiane,tena ile kwa kulazimisha mara "na kuja kwako kukufanyia fujo, mara na kurudishia zawadi zako ni kiziona na kukumbuka.
Kuna kipindi nikawaza may be ni mtumie tu then ni mwache ni kaona sio fresh sababu kaka zake ni marafiki zangu,sababu kipindi na date nae nahisi kaka zake hawa kufaham. Nikaona acha ni kaushe tu, yule demu mpaka leo hii anaomba turudiane ni nilikuwa ni kimblock anabadilisha namba sasa ni meamua ni mwache akipiga siku hizi sipokei naona kachoka,ila still bado siku hizi anatuma msgs najua atachoka tu.
Ila ni kaja kugundua hamna watu wanaojua kuandika msg za kuchoma kama wanawake,hasa wakikupiga kibuti.
Na mwanaume anaejielewaa kamwe USIJIBUU MSG ZA MWANAMKE ANAEKUPIGA KIBUTI.
Huyo mke mwenyewe huli weye pekeSa mtu unakuta hata sio mkeo ni demu ako tuu AFU UNATAKA UMLE PEKE AKO jamani mbona sio kweli???
Mimi ilikuwa hivi nilikuwa na men wangu ni kisu yaani handsome balaa sasa siunajua lazima ukajishaue kwa marafiki zako .
Wakadai okay shem tumekuelewa walahi mtu akaiba namba yake akamsaoundisha wakalana sijajua kabadilika kwanini.
Nikawabana mafriends wangu waniambie weeh nikajua ni mke wamtu kafanya hilo na ndio best yangu kinyama .
Sawa nikasema poa ...
Nikaanza ufisadi hadi nikampata mume wake nikampa vizuri hadi basi akawa anapigwa tu wala hapendwi kisa mie akaona mapenzi na mchepuko ni mbaya akamwomba yule mkaka arudi kwangu na mimi nimuachie mumewe nikagoma kabisa.
Aliendaga kwao kapewa talaka moja akaaa mwaka 1 ndio nikaona nimuhurumie nikaachana mumewe wakarudiana
So alikaambali na mpenzi wangu japo sijarudiana naye
Kumbe wee ni mdeadly jooo🤣🤣🤣🤣Mimi ilikuwa hivi nilikuwa na men wangu ni kisu yaani handsome balaa sasa siunajua lazima ukajishaue kwa marafiki zako .
Wakadai okay shem tumekuelewa walahi mtu akaiba namba yake akamsaoundisha wakalana sijajua kabadilika kwanini.
Nikawabana mafriends wangu waniambie weeh nikajua ni mke wamtu kafanya hilo na ndio best yangu kinyama .
Sawa nikasema poa ...
Nikaanza ufisadi hadi nikampata mume wake nikampa vizuri hadi basi akawa anapigwa tu wala hapendwi kisa mie akaona mapenzi na mchepuko ni mbaya akamwomba yule mkaka arudi kwangu na mimi nimuachie mumewe nikagoma kabisa.
Aliendaga kwao kapewa talaka moja akaaa mwaka 1 ndio nikaona nimuhurumie nikaachana mumewe wakarudiana
So alikaambali na mpenzi wangu japo sijarudiana naye
Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe.Mith21:3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
Mithali 31:3
Duuh uyo mwanamke chizi sio bureInawezekana nimeshawahi kuchapiwa......
Ila hii ni mchapio uliotokea kwa rafiki yangu.....
Miaka ile baada ya kuanza ajira, nikiwa naishi mitaa ya Kijitonyama, mimi na rafiki yangu wa muda mrefu sana tulikuwa majirani kabisa.
Siku ya jumapili nikiwa nawaza niende kuzurura wapi jamaa akanipigia simu kuwa niende kwake ana jambo anataka nimpe ushauri.
Nilimkuta jamaa ana mchanganyiko wa huzuni na hasira; nikauliza kumetokea nini?
Jamaa akaanza kunihadithia kuwa amechapiwa demu wake asubuhi hiyo...Nikashtuka na kuuliza, vipi umefumania? akasema hapana. Nikauliza tena, sasa wewe umejuaje kuwa amekusaliti?
Yaliyotokea kwa mujibu wa maelezo ya jamaa ...
Alimpigia simu huyo demu wake jumamosi usiku kuwa aende jumpaili ili wawe wote weekend kufurahia mapenzi yao, binti akakubali kuwa angefika hapo saa mbili asubuhi.
Jumapili imefika, binti akamwambia jamaa kuwa atachelewa kidogo hivyo atafika saa nne badala ya saa mbili. Jamaa akafanya maandalizi yote ikiwa kuweka mazingira mazuri na kuandaa chakula ili aje kufurahia na mpenzi wake.
Kufikia saa nne kweli binti akafika na jamaa akampokea kwa bashaha zote; katika kukumbatiana na kubusiana wakajikuta wameshaanza foreplay, jamaa akapeleka mkono tumboni ili aelekee kwenye raha za dunia, akapitisha mkono kwenye kitovu akakutana na utelezi...
Akaendelea chini zaidi akaona utelezi unaongezeka, akaingingiza mkono kwenye chupi ndipo alipokutana na utelezi mwingi zaidi.
Kwa kuwa hiyo ilikuwa hali ngeni kwake, akaamua kumlaza binti na kumvua sketi na kisha chupi....hakuamini macho yake yaani ni mzigo wa maniii(sperm) ....
Kiufupi binti aliliwa muda mfupi kabla ya kuja kwa jamaa....
Kumuuliza binti, akasema ''I am sorry''
Jamaa akamwambia tu kuwa aondoke.......
Nipe bulb hizo nimchore mtu[emoji28]Ni zile bulb za laki na ishirini alafu ilikua just for fun tu. Ile kumuona mtu ila ndio hivyo siku nikakutana na kitu
Nimecheka sanaMimi ilinikuta pia. Kwanza siku hiyo inaanza nilimcheka sana jamaa yangu kwa kumlilia demu. Jioni nami yakanikuta, nikaona aibu nikaenda kulilia chooni wana wasijue..kumbe ngashtuka wakanifuata kulekule aisee walinicheka sana siku ile. Jamaa wakanambia we ulisema huwezi kulia kisa demu na jana umemcheka mwana.
Toka hapo nikawa nimekua komando kipensi sina wivu wala siumii kiboya.