Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Kweli kabisa, Sema sisi wanaume tunajisahau sana ,tunatanguliza hisia mbele kuliko kutafakari maisha yako baada ya kuchapiwa.
 
Comment bora kabisa kongole kwako.
 
Haipo hiyo ya mwanaume kuliwa na mwanamke, mwanaume ndo anamla mwanamke ndo maana dini inaruhusu mume kula wanawake wanne kihalali. Nyie tulieni mliwe.
Kuna mama kafungwa morogoro huko kambaka mtoto wa kiume....na nyie mnaliwa bro
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ulikaharibu katoto ka watu?
 
Ulikatwanga mangumi aus sio. Dah ila kuchapiwa sio utani unaweza kuua hivi hivi
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah mche wa sabuni
 
Utoto San huo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ndio maana mwaka huu mvua ziligoma kunyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…