Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Daah..mimi sipendagi kabisa mazoea na watu hadi kiwakaribisha home..urafiki uishie mtaani sio home kwangu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Daah..mimi sipendagi kabisa mazoea na watu hadi kiwakaribisha home..urafiki uishie mtaani sio home kwangu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Haya mambo ya kukaribishana home ndo chuki na husda zinaanza hapo..labda ishu za kazini ziishie huko huko na za mtaani huko huko kweny maskani na vibanda umiza.

Mi nidanganya hata ninapokaa ndugu tu ndo wanajua nikiwa na tatizo wanafika fasta sio mbali ...watu wengine unaumwa wanakuja kukuchora mara unakuta story kazini "mchizi kakonda balaa"

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Noma kweli
 
Marafiki au ndugu wengine wakipazoea kwako mwisho wasiku mazoea hadi kwa wife au wadogo zako wa kike..bora uchapiwe na masela usio wajua kuliko jamaa au rafiki zako wa karibu hizo huwa ni dharau za kis...e sana asee.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nishachapiwaa saaana...
Imefika hatua nimekua sugu...
Nina kauli moja ya kishujaaa
"Hata wakimla hawatammaliza" jioni atarudi nitakula na sitamaliza pia.
Ushakua mnyonge hadi umejikubali..ila haya mambo bhana kumpangia matumizi ya kitendea kazi mtu mzima changamoto sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…