Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tusamehe bure. Ila wanasema kizuri kula na mwenzio (jokes)😅Wadada wa jf wamenichapia hadi sio poa, mbinguni watapasikia 😔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusamehe bure. Ila wanasema kizuri kula na mwenzio (jokes)😅Wadada wa jf wamenichapia hadi sio poa, mbinguni watapasikia 😔
Imagine watu 6 nnaowajua 😔😔 hapana asee ntaweka uzi muda wowote hapa 🤣🤣🤣Tusamehe bure. Ila wanasema kizuri kula na mwenzio (jokes)😅
Weeeee sitaaaaaaa🙄🙄🙄Imagine watu 6 nnaowajua 😔😔 hapana asee ntaweka uzi muda wowote hapa 🤣🤣🤣
Kwakweli mi ni mchapiwaji bora wa jf 🤣🤣🤣 watu 6 hapana asee na wengine nnaowajua mimi, baada ya tuzo ya stories of change nami nikumbukwe tuzo....thread inafata I'd zote ntaziandika muniombeeWeeeee sitaaaaaaa🙄🙄🙄
Andika basi stories of change kuhusu hilo...unaweza win mapesa tukanywe bia kujipoza machungu.Kwakweli mi ni mchapiwaji bora wa jf 🤣🤣🤣 watu 6 hapana asee baada ya tuzo ya stories of change nami nikumbukwe
Mbeya-Dar ni mbali kwa basi ni usafiri wa masaa si chini ya 13 umbali wa nilipo hadi mbeya ni tofauti pia...Mbeya ni mbali kutoka wapi mkuu? Umbali wa kutoka hapo ulipo mpaka Mbeya na umbali wa kutoka Mbeya mpaka hapo ulipo ni tofauti mkuu? Lyamber
Daah..mimi sipendagi kabisa mazoea na watu hadi kiwakaribisha home..urafiki uishie mtaani sio home kwangu.Daaa aisee Mimi nikichapiwa na dogo ambaye alikua rafiki yangu na no work mate na alimchapa manzi yangu sebilen kwangu huku mtoto wangu wakiwa wamemlaza pembeni ya sofa.
Kuna watoto walikua nje wanapiga chabo wakaja nistua nilipo . Kufika home jamaa Kesha maliza mchezo na yupo pale pale anajifanya anacheki movie.
Nilimbana yuele demu baadae akakiri kua kweli. Niliumia Sana mpaka leo tuliachana na yule dogo si marafiki tena .
Haya mambo ya kukaribishana home ndo chuki na husda zinaanza hapo..labda ishu za kazini ziishie huko huko na za mtaani huko huko kweny maskani na vibanda umiza.Daah..mimi sipendagi kabisa mazoea na watu hadi kiwakaribisha home..urafiki uishie mtaani sio home kwangu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yanii wabinafsi mnoo hawa viumbe!!Wanatuonaga tuna mioyo wa chuma.
Tunawachora tu kumbe inauma eee 😅😅
Weee Hayanaga formula mkuu!!Quenz ni muhim kwa mwanamke mkorofii..hata akikuacha akikumbuka quenz alizoogea atajifunza kitu kwa mahusiano mapya atakayoanza
Noma kweliMtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Vita na adui huchagui silahaUlimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
Marafiki au ndugu wengine wakipazoea kwako mwisho wasiku mazoea hadi kwa wife au wadogo zako wa kike..bora uchapiwe na masela usio wajua kuliko jamaa au rafiki zako wa karibu hizo huwa ni dharau za kis...e sana asee.Haya mambo ya kukaribishana home ndo chuki na husda zinaanza hapo..labda ishu za kazini ziishie huko huko na za mtaani huko huko kweny maskani na vibanda umiza.
Mi nidanganya hata ninapokaa ndugu tu ndo wanajua nikiwa na tatizo wanafika fasta sio mbali ...watu wengine unaumwa wanakuja kukuchora mara unakuta story kazini "mchizi kakonda balaa"
[emoji23][emoji23]
Ushakua mnyonge hadi umejikubali..ila haya mambo bhana kumpangia matumizi ya kitendea kazi mtu mzima changamoto sana.Nishachapiwaa saaana...
Imefika hatua nimekua sugu...
Nina kauli moja ya kishujaaa
"Hata wakimla hawatammaliza" jioni atarudi nitakula na sitamaliza pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]Na sisi wanawake tunachapiwa?? Au inachapishwa, au inachapiana?
Quenz ni muhim kwa mwanamke mkorofii..hata akikuacha akikumbuka quenz alizoogea atajifunza kitu kwa mahusiano mapya atakayoanza
Acha nicheke mie ubaya ubayani [emoji23][emoji23]nilitomber dem wa waden nae akanibambika likesi nikatimuliwa chuoni