Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Daaa aisee Mimi nikichapiwa na dogo ambaye alikua rafiki yangu na no work mate na alimchapa manzi yangu sebilen kwangu huku mtoto wangu wakiwa wamemlaza pembeni ya sofa.
Kuna watoto walikua nje wanapiga chabo wakaja nistua nilipo . Kufika home jamaa Kesha maliza mchezo na yupo pale pale anajifanya anacheki movie.
Nilimbana yuele demu baadae akakiri kua kweli. Niliumia Sana mpaka leo tuliachana na yule dogo si marafiki tena .
Daah..mimi sipendagi kabisa mazoea na watu hadi kiwakaribisha home..urafiki uishie mtaani sio home kwangu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Daah..mimi sipendagi kabisa mazoea na watu hadi kiwakaribisha home..urafiki uishie mtaani sio home kwangu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Haya mambo ya kukaribishana home ndo chuki na husda zinaanza hapo..labda ishu za kazini ziishie huko huko na za mtaani huko huko kweny maskani na vibanda umiza.

Mi nidanganya hata ninapokaa ndugu tu ndo wanajua nikiwa na tatizo wanafika fasta sio mbali ...watu wengine unaumwa wanakuja kukuchora mara unakuta story kazini "mchizi kakonda balaa"

😂😂
 
Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
Noma kweli
 
Haya mambo ya kukaribishana home ndo chuki na husda zinaanza hapo..labda ishu za kazini ziishie huko huko na za mtaani huko huko kweny maskani na vibanda umiza.

Mi nidanganya hata ninapokaa ndugu tu ndo wanajua nikiwa na tatizo wanafika fasta sio mbali ...watu wengine unaumwa wanakuja kukuchora mara unakuta story kazini "mchizi kakonda balaa"

[emoji23][emoji23]
Marafiki au ndugu wengine wakipazoea kwako mwisho wasiku mazoea hadi kwa wife au wadogo zako wa kike..bora uchapiwe na masela usio wajua kuliko jamaa au rafiki zako wa karibu hizo huwa ni dharau za kis...e sana asee.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nishachapiwaa saaana...
Imefika hatua nimekua sugu...
Nina kauli moja ya kishujaaa
"Hata wakimla hawatammaliza" jioni atarudi nitakula na sitamaliza pia.
Ushakua mnyonge hadi umejikubali..ila haya mambo bhana kumpangia matumizi ya kitendea kazi mtu mzima changamoto sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom