Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
"Heavyweight"😂😂😂
 
Ulimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
Na jamaa wakati anamchapia mkewe hakuona kama mshikaji wake (mwenye mke) pia Hana makosa mpka aamue kumchapia mke wake na ukizingatia jamaa ni rafiki yake!? sophy27

Kukazana na mtu ambae mko na mahusiano ya karibu iwe baba,mama,mke,mme,kaka,dada,(awe wa mjomba/shangazi) rafiki,jamaa,au ndugu yoyote anaemuhusu.
Aisee acha na usiruhusu hata kama umepewa ruhusa na mmoja wao
Kusipotokea ugomvi na makwazo ya kujirudia
itakuja dharau na ikiwezekana mahusiano ya ww na jamaa yko kufa kifo Cha mende.
Uhuru hautakuwepo tena,Kuna ka namna flani hv ya kitu kitakuwa kinakusuta.

Huwa nasema hv; Ukishindwa KUSAMEHE na kupuuza Ww LIPA KISASI Pale inapobidi
Tena kadiri vile upendavyo mpaka uisuuze nafsi yako
Achana kukaa na vinyongo kisa mtu Fulani ambae ww umeamua kumfanya awe sehemu ya furaha Yako.
 
Back
Top Bottom