political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Ni kweli ila ndio ivyo vita aina macho [emoji23][emoji23][emoji23]Ulimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila ndio ivyo vita aina macho [emoji23][emoji23][emoji23]Ulimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
Uyo jamaa mwenyewe yupo umu JF nikimalizia story tutaanza upya kutafutanaInatakiwa muendelezo hichi kisa chako
Aujachagua silaha au sioNi kweli ila ndio ivyo vita aina macho [emoji23][emoji23][emoji23]
Zilikuwa ni hasira yani uwezi amini jamaa ndio alikuwa wa kwanza tukigombana na demu ananiambia usije kumuacha uyu mwanamke mara hoo uyu ni zaidi ya soul mate wako bahati aiji mara mbili kumbe mshenzi tu ananichoraAujachagua silaha au sio
PoleZilikuwa ni hasira yani uwezi amini jamaa ndio alikuwa wa kwanza tukigombana na demu ananiambia usije kumuacha uyu mwanamke mara hoo uyu ni zaidi ya soul mate wako bahati aiji mara mbili kumbe mshenzi tu ananichora
"Heavyweight"😂😂😂Mtoa mada umenikumbusha 2019 mwezi 6 mshikaji wangu toka nitoke alinichapia demu wangu sitokuja kusahau maumivu yake nikaja kumchana demu akanijibu ""dohhh kwaiyo unafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23] nilioshiwa nguvu yani ata kujuta amna kanikazia sura nilimpiga kichwa mpaka akapasuka damu mwili mzima jamaa yangu nae baada ya kujua kuwa nimejua eti ndio anajifanya kuja kuomba msamaha nikajifanya nimemsamehe nikamfungia kazi dada yake wa tumbo moja nikamuimbisha mpaka akajaa siku anakuja gheto nikawashitua wana kama wa 2 ivi tukampiga mtungo mmoja heavy weight jamaa akapata taarfa sasa ikawa vita ya kuwindana na mapanga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] it is what it is.."Heavyweight"[emoji23][emoji23][emoji23]
Na jamaa wakati anamchapia mkewe hakuona kama mshikaji wake (mwenye mke) pia Hana makosa mpka aamue kumchapia mke wake na ukizingatia jamaa ni rafiki yake!? sophy27Ulimkosea sana huyo dada hakua na Kosa aisee
Quenz ni muhim kwa mwanamke mkorofii..hata akikuacha akikumbuka quenz alizoogea atajifunza kitu kwa mahusiano mapya atakayoanzaHahahaaa!!
Dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nilizalisha mke wa mtu, na wangu akazalishwa nimejifuza sana akipandacho mtu ndio atakachovuna
Mbeya ni mbali kutoka wapi mkuu? Umbali wa kutoka hapo ulipo mpaka Mbeya na umbali wa kutoka Mbeya mpaka hapo ulipo ni tofauti mkuu? LyamberKwaio mzee ulifunga safari hadi mbeya kula mbususu Mbeya kulivyo mbali kule...🤣🤣🤣
Ha haa nimecheka kama mazuriNilizalisha mke wa mtu, na wangu akazalishwa nimejifuza sana akipandacho mtu ndio atakachovuna
Wanatuonaga tuna mioyo wa chuma.Hivi na wanawake wanachapiwa eehh!!!???
Nasoma koments tu mie!![emoji144]
Kwamba hata nyiny mnaumiagaWanatuonaga tuna mioyo wa chuma.
Tunawachora tu kumbe inauma eee [emoji28][emoji28]
Ni zile bulb za laki na ishirini alafu ilikua just for fun tu. Ile kumuona mtu ila ndio hivyo siku nikakutana na kituAisee ukaweka cameraa kabisaa[emoji3][emoji3]
Tumekuwa sugu hatuna makasiriko. Poleni....Kwamba hata nyiny mnaumiaga
Bas anzishen uzi wenu afu tuonee
Wadada wa jf wamenichapia hadi sio poa, mbinguni watapasikia 😔Hahahah dah.! Labda inachapwa.