Sorry to say this, Be mature enough to cover your emotional pain. Nimefatilia kisa chako sawa mkeo amekukosea sana lakini the way ulivyo react to that mpaka umeanza kuwapanga wake za watu it is not fair na ni dhambi sana kibaya zaidi unajisifia kuwa na picha unawapiga, let me tell you now unaweza kujiona mjanja au una heal jeraha lako kwa maumivu uliyoyapata lakini umechagua solution mbaya sana na one day inaweza kukokosti almost everything hamna faida ya kuhangaika na wake za watu na hamna hasara ya kutoaingaika na wake za watu (NB Ndoa iheshimiwe na watu wote hawakukosea kusema hivi fikiria kiundani)
What to do bro?
Kubali kuwa mkeo amekukosea, kubali kuwa yawezekana ni mapungufu ya kibinadamu( simtetei ) na kama uliamua kumsamehe jifunze kuwa jasiri wa kusahau kilichotokea, anza kujenga kilichopotea kikubwa ni kuwa emotional pain zinapona kabisa na zinasahaulika kama ukichagua measure sahihi.
Amini nakwambia msingi mmoja wapo wa Dunia yetu ni ujasiri na kuwa na moyo mgumu kama binadamu kwa kila hatua tunazopitia, maisha huwa yana tabia ya tutest watu, so ukiyumba yanakuyumbisha.
N.B Achana na wake za watu, utakuja ingia sehemu sio afu usione mlango wa kutokea, jipende na penda na familia yako thats all.
Samahani lakini its just the way i see things in different direction.