Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

Kipindi nikiwa chuo ,nipo likizo home nikapata demu ,nikaleta home , nmetoka kufuata msosi na vinywaji kurudi nikakakuta mshua anaipiga ,dah niliumia kiasi ila nilijikaza na mimi nikaigegeda tu kibishi , kesho yake mzee ananiangalia tu kma dume la nyani.
Chaiii
 
Ulikua unawaza alivyochapwa kwani ulikua upo ukishuhudia au ulikua unazuuum video zako tu
 
Mkuu nnavyopiga wanawake za watu mpaka najishangaa nilikuaga mtakatifu rakn walivyomto mkewangu nawabutua nawachukua na picha kabsa za kumbukumbu nikichukia naziweka mabago mitaani

nishachukia mimi kengine nimekachima juzi kana miezi miwili kametoka kufunga ndoa
Picha wanakubali au unapiga kwa wizi tu
 
Imetosha mzee achana nao

Utakuja ujichangnye chaka silo
 
Picha wanakubali au unapiga kwa wizi tu
Wanawake wakifikaga chumbani kwalolote huwa wapo tayari na kwa mda huo wanakua wamekupa kila kitu kwa asilimia mia moja kwaio vyoyote utakavyotaka upende unyonywe ni ww tu
 
ila ni raha kinoma ukichapiwa alafu na wewe ukaja kuchapia mtu, unajihisi kama mzani umekaa sawa hivi... Me nilichapiwa nikapiga chini, nikaja nikamchapa workmate wa ex ambae nae alikuwa na jamaa'ake nikaridhika.... Tena nimechapa leo baada ya week akafunga ndoa Mungu anisamehe maana sikujua kama jamaa yupo serious na ile pisi kiasi kile so, baada ya pale niliamua kila kitu kiishie palepale.
Dah kumamake unaona demu ametoka kuchapwa halafu anaemuoa kambania kumpa mzigo
 
Wanawake wakifikaga chumbani kwalolote huwa wapo tayari na kwa mda huo wanakua wamekupa kila kitu kwa asilimia mia moja kwaio vyoyote utakavyotaka upende unyonywe ni ww tu
Noma sana dah
 
Mkuu nnavyopiga wanawake za watu mpaka najishangaa nilikuaga mtakatifu rakn walivyomto mkewangu nawabutua nawachukua na picha kabsa za kumbukumbu nikichukia naziweka mabago mitaani

nishachukia mimi kengine nimekachima juzi kana miezi miwili kametoka kufunga ndoa
Sorry to say this, Be mature enough to cover your emotional pain. Nimefatilia kisa chako sawa mkeo amekukosea sana lakini the way ulivyo react to that mpaka umeanza kuwapanga wake za watu it is not fair na ni dhambi sana kibaya zaidi unajisifia kuwa na picha unawapiga, let me tell you now unaweza kujiona mjanja au una heal jeraha lako kwa maumivu uliyoyapata lakini umechagua solution mbaya sana na one day inaweza kukokosti almost everything hamna faida ya kuhangaika na wake za watu na hamna hasara ya kutoaingaika na wake za watu (NB Ndoa iheshimiwe na watu wote hawakukosea kusema hivi fikiria kiundani)

What to do bro?
Kubali kuwa mkeo amekukosea, kubali kuwa yawezekana ni mapungufu ya kibinadamu( simtetei ) na kama uliamua kumsamehe jifunze kuwa jasiri wa kusahau kilichotokea, anza kujenga kilichopotea kikubwa ni kuwa emotional pain zinapona kabisa na zinasahaulika kama ukichagua measure sahihi.
Amini nakwambia msingi mmoja wapo wa Dunia yetu ni ujasiri na kuwa na moyo mgumu kama binadamu kwa kila hatua tunazopitia, maisha huwa yana tabia ya tutest watu, so ukiyumba yanakuyumbisha.

N.B Achana na wake za watu, utakuja ingia sehemu sio afu usione mlango wa kutokea, jipende na penda na familia yako thats all.

Samahani lakini its just the way i see things in different direction.
 
Huyo siku yake ikifika atalia na kusaga meno tena guest house
 
Licha ya kuupush mlango kwa teke, bado waliendelea kulaliana kwa muda wa kama dakika moja hivi. Baada ya kidume kumwaga, ndipo akajawa na uoga na kuanza kusorry bila mwelekeo

Zile tako alizokuwa anarusha, nilihisi mke wangu hatowahi abebe mimba tena. Niliwafungisha ndoa ya mkeka papo hapo baada ya kutoa taraka 3. Nikawatakia safari njema ya maisha mapya. Nikabaki na mtoto
 
Pole Sana ofisa
 
Sorry to say this, Be mature enough to cover your emotional pain. Nimefatilia kisa chako sawa mkeo amekukosea sana lakini the way ulivyo react to that mpaka umeanza kuwapanga wake za watu it is not fair na ni dhambi sana kibaya zaidi unajisifia kuwa na picha unawapiga, let me tell you now unaweza kujiona mjanja au una heal jeraha lako kwa maumivu uliyoyapata lakini umechagua solution mbaya sana na one day inaweza kukokosti almost everything hamna faida ya kuhangaika na wake za watu na hamna hasara ya kutoaingaika na wake za watu (NB Ndoa iheshimiwe na watu wote hawakukosea kusema hivi fikiria kiundani)

What to do bro?
Kubali kuwa mkeo amekukosea, kubali kuwa yawezekana ni mapungufu ya kibinadamu( simtetei ) na kama uliamua kumsamehe jifunze kuwa jasiri wa kusahau kilichotokea, anza kujenga kilichopotea kikubwa ni kuwa emotional pain zinapona kabisa na zinasahaulika kama ukichagua measure sahihi.
Amini nakwambia msingi mmoja wapo wa Dunia yetu ni ujasiri na kuwa na moyo mgumu kama binadamu kwa kila hatua tunazopitia, maisha huwa yana tabia ya tutest watu, so ukiyumba yanakuyumbisha.

N.B Achana na wake za watu, utakuja ingia sehemu sio afu usione mlango wa kutokea, jipende na penda na familia yako thats all.

Samahani lakini its just the way i see things in different direction.
Asante mkuu nimekuelewa nyuzi yako imeniingia itabidi nivae sura ya kiume nifikilie
 
Back
Top Bottom