Ok kumbe ni jamaa kahamisha idea kama ilivyo.
Asante sana 100k inapatikana bila maulizo. Ngoja sikukuu ziisheMwendokasi kituo cha pili upande wa kulia kama unatokea muhimbili ingia maduka ya ndani ndani kuna chupi dozen hadi 3,000 taiti nzuri 12,000 (upande wa china plaza, unapita kanisa)
Kwa kuanza 30,000 au 50,000 sio mbaya changanya chupi na taiti kama na za watoto basi ukiwa na 100,000 sio mbaya unapata mzigo wa kutosha tu
Umesema dozen bei gani. Chupi na taitiMwendokasi kituo cha pili upande wa kulia kama unatokea muhimbili ingia maduka ya ndani ndani kuna chupi dozen hadi 3,000 taiti nzuri 12,000 (upande wa china plaza, unapita kanisa)
Kwa kuanza 30,000 au 50,000 sio mbaya changanya chupi na taiti kama na za watoto basi ukiwa na 100,000 sio mbaya unapata mzigo wa kutosha tu
pisikali asante dear yani hapa umeniamsha khari ya kurudia tena ujasiliamali maan mambo yamekua si khali ..!! Tatzo lingne kkoo wengine sio wanyeji sna mitaaa inachanganya ila nitajitahd nipotee hadi nifanikishe huu uzi bora kutokea 2020 naifaidh kwa matumiz ya baadae. [emoji7][emoji7][emoji7] Ubarikiwe
Umesema dozen bei gani. Chupi na taiti
Vya kkoo ipo mitaa mingi kuna kwa mchina
Na kuna kituo cha msimbazi polisi mbele si kuna sheli sasa mtaa unaofata, utaona tu wamemwaga viatu nje
Ingia yale maduka ya chini
Kuna yeboyebo nazo zinalipa kweli jumla unakuta 1,300 kwa 1,700 wewe unauza 3,000 kwa 3,500
Hizi zinapatikana upande wa china plaza si kuna kanisa, sasa mitaa miwili inayofatia (kituo cha pili cha mwendokasi) kama unatokea muhimbili
Sendo zingine
Manzese ni zile kama za kimasai jumla inategemea na piece unazochukua kuna za 3000 kwa 4,500 (manzese darajani upande wa kulia kama unatokea ubungo) kuna mafundi kabisa hapo h
Ahsante San best ang me kila nkifika iyoo mitaa naona machinga kbao wanauza kwa 3500TZs,naogopa kuwauliza maduka ya jumla yakwap😂😂 but next time ntavaa sura ya kaz na ntawauliza then I hope sendo za kike jumla n 2500 mpk 3000....ubarikiweBonge la thread
Mimi nataka za wanachuo age zao ni zilezile 18-24 na zitakuwa za 'sistaduu' na mikao flani sijui madoido na urembo. Nyingine zinabana tumbo nazo nataka tuchukue. Imaginations tu hiziInategemea na kampuni gani, quality and size (za watu waZima letsay 50+yrs nyingi zinakua bei kubwa kiasi taiti nilinunuaga dozen 24,000 (12) zenye quality nzuri mno
Kuna za kawaida (ubora) Ndio hizo chupi dozen 3,000 zingine 6,000 12,000 ndio unakuta wanauza buku buku Au 5,00
Sawa dear ...!!Amiin shukrani[emoji1431] huwezi kupotea ukifata maelekezo huku ukiwauliza wafanyabiashara wa hapo wanakuelekeza uzuri mfano ukitaka mapazia unaambiwa nenda mtaa wa agrey na Swahili, mazulia kapeti majamvi nenda gerezani
Hello wapendwa[emoji112]
Wale tunaopenda kujiajiri inatuhusu hii
Ideas tofauti[emoji1370]
Kama hauna mtaji
Unaweza kwenda kkoo ukachukua vitu kwenye maduka ya jumla ukapanga kwenye barabara then unapeleka hela ya bidhaa au kama hakijachukuliwa unarudisha, ili uaminiwe unaacha simu yako (sio maduka yote wanakubali) let say vibanio vya mapazia maua ya kupamba (ukizingatia ni msimu wa sikukuu) jumla unakuta vibanio vya mapazia 3,500 dukani reja wanauza 10,000 wewe unauza 8,000 kwa 9,000 unachukua faida yako unapeleka hela yao dukani ya bidhaa husika
Nyingine[emoji1370]
Unaweza kwenda kwenye maduka ya jumla ukapiga picha labda vyombo vya kisasa ukavipost kwenye social media (status/ig) mteja akikuagiza unamwambia atoe kwanza advance then ukimpelekea anamalizia ile advance yake ndio unaenda kununulia
Letsay vikombe vya udongo vizuri vya kisasa vinauzwa dozen 22,000 hadi 14,000 wewe unaongeza 44,000 au hata 40,000
Nyingine[emoji1370]
Kushonesha mapazia mashuka foronya
Vitambaa vya mapazia quality 11,000 hadi 10,000
Pazia la mita 2-5
Full
Unachukua mita 4 nzito au mita 3 unashonesha yanatoka mawili
Nyepesi nzuri bei 8,000 unakata mita 2 (16,000)
Ufundi pazia moja 2,000 kwa 3,000 kuweka urembo inategemea na unaouhitaji kuna wa 2,00@each/300 kwa 5,00
Kuuza unamuuzia mtu set kuanzia 85,000 to 150,000 tena ukitaka hela zaidi unatengenezA na curtains so dirisha moja unauza 250,000 (unachukua picha kweenye mitandao unapost
View attachment 1649438
View attachment 1649439
View attachment 1649440
View attachment 1649441
View attachment 1649442
View attachment 1649443
Foronya mita 6,000 kwa 10,000
Mita moja inaweza kutoa foronya hadi 10 it depends na size ya mito
Foronya za mito midogo kushona 1,000@each mito mikubwa 1,500 kwa 2,000 zipu 200 tu
View attachment 1649445
View attachment 1649446
Mashuka mita 5000/6,000 kwa 10,000
Shuka unakata mita 3 shuka linachukua mita 2 na foronya mbili kwenye mita moja
Kushona huko huko kkoo 2,000 kwa 3,000
Jumla kwenye 20,000
Wewe unauza 35,000
View attachment 1649447
Nyingine[emoji1370]
Kkoo kwenye maduka ya jumla ya lotions nywele (yanakopark daladala za mabibo manzese, opposite na msimbazi polisi) unaenda saa10 alfajir kuna watu wanakua hapo kila siku wanauza bidhaa kwa jumla, lotion ambazo zinazouzwa 15,000 unapata kwa 5,000 tu dawa za nywele, closures, nywele og na fake, muhimu kuwahi huo muda na uwe umechangamka
Nyingine[emoji1370]
Tafuta 50,000 au 100,000
Nenda karume alfajiri kunakuwa na mnada wa nguo za mabalo wanazofungua, lengesha macho yako vizuri
Unaweza kupata jeans kali zimesimama[emoji1362] kwa 3,000/5,000 nguo nzuri hadi buku tu tena zingine mpya
Mapochi mazuriiii 5,000 la 10,000 quality kabisaa hilo
Ukishapata mzigo wako unazipost kwenye social media mteja akihitaji unampelekea, au unapanga barabarani ushuru 2,000 tu au tafuta kitambulisho
Cha wamachinga 20,000 kwa mwaka
Tafuta sehem yenye watu kama kituo cha daladala, au unazipeleka kwenye minada kama bagamoyo wananunua vitu balaa
Nyingine[emoji1370]
Tafuta laki moja
Nenda Tandika vitambaa hadi 1,500 unanunua mita 2 kwa mita 3 unashona na mitandio yake, ufundi ukishona nguo nyingi 3,000 tu au 2,000 unaweza ukatumia 7,000 wewe ukaiuza hiyo nguo kwa 15,000 hadi 20,000 kushona huko huko tandika wanakushonea (madira tu au magauni simple mikono ndio unaweka mbwembwe) kama madela ya kkoo mengi wanashona hayatoki mombasa
Nyingine[emoji1370]
Nguo za harusi
Shela na suti, vitambaa manzese bei ni nzuri mnooo
Angalia kwenye mitandao aina tofauti za nguo chukua picha nenda manzese tafuta vitambaa waoneshe wauza maduka wanajua material nzuri na urembo (nakshi nakshi) kama wanaume suti full (suruali sana sana mita 1 au moja na nusu) inaweza ikachukua mita 3 ikizidi 3 na nusu tu kama kibonge 4+
Bei za vitambaa kuna vya 7,000, 14,000 vzr kabisa 20k kwa mita moja, unauza ama unakodisha haswa kuanzia june hivi sherehe nyingi
Pia mashela tengeneza dizaini tofauti hata kumi tu uwe unakodisha na kuuza, shela hadi kukamilika inaweza kukost 70k ikizidi 100k tu
Kitambaa inategemea na quality kuna cha 5,000 hadi 30,000 unamix vitambaa vya kawaida (cotton, hariri, satini) na lesi material
Ili shela lijae (cinderella) wengi wanaweka vitambaa vya neti shela linakua limejimwaga, unaweka urembo kama stones maua ua hivi, wengine wanapenda simple tu
It depends size, material (quality) unakodisha labda laki moja hivi, unazipost kwenye social media huku ukiwa karibu sana na wenye saloon
Ubarikiwe sanaHello wapendwa[emoji112]

Mimi nataka za wanachuo age zao ni zilezile 18-24 na zitakuwa za 'sistaduu' na mikao flani sijui madoido na urembo. Nyingine zinabana tumbo nazo nataka tuchukue. Imaginations tu hizi
Nitaibukia uko soon kutafiti then January tuchukue za kuanzia. Mimi na gf wangu
Yap pale Don don HotelVya kkoo ipo mitaa mingi kuna kwa mchina
Na kuna kituo cha msimbazi polisi mbele si kuna sheli sasa mtaa unaofata, utaona tu wamemwaga viatu nje
Ingia yale maduka ya chini
Kuna yeboyebo nazo zinalipa kweli jumla unakuta 1,300 kwa 1,700 wewe unauza 3,000 kwa 3,500
Hizi zinapatikana upande wa china plaza si kuna kanisa, sasa mitaa miwili inayofatia (kituo cha pili cha mwendokasi) kama unatokea muhimbili
Sendo zingine
Manzese ni zile kama za kimasai jumla inategemea na piece unazochukua kuna za 3000 kwa 4,500 (manzese darajani upande wa kulia kama unatokea ubungo) kuna mafundi kabisa hapo hapo
KarumeDada kati ya kule Ilala sokoni na Karume, wapi kuna nguo nzuri za mtumba kwa bei rahisi? na ni nguo gani za kike zinauzika sana kati ya magauni au skin jeans? Asante
Hapo unapata za aina zote?Karume
Kuna jamaa wawili wanafungua nadhanj ni ijumaa na jumanne
Aisee nguo zao ni fire