Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una itwa mataa wa narung'ombe ,kituo msimbas BMwendokasi kituo cha pili upande wa kulia kama unatokea muhimbili ingia maduka ya ndani ndani kuna chupi dozen hadi 3,000 taiti nzuri 12,000 (upande wa china plaza, unapita kanisa)
Kwa kuanza 30,000 au 50,000 sio mbaya changanya chupi na taiti kama na za watoto basi ukiwa na 100,000 sio mbaya unapata mzigo wa kutosha tu
Pisi kali naomba kama una namba za wauza chupi jumla, pia wale wanaouza vitambaa vya kushona paziaInategemea na kampuni gani, quality and size (za watu waZima letsay 50+yrs nyingi zinakua bei kubwa kiasi taiti nilinunuaga dozen 24,000 (12) zenye quality nzuri mno
Kuna za kawaida (ubora) Ndio hizo chupi dozen 3,000 zingine 6,000 12,000 ndio unakuta wanauza buku buku Au 5,00
Dada wewe ni mpambanaji haswaaa.Asante sana wazungu wanasema sharing is caring
80% ya hizo ideas hapo nimefanya kwa alipenda chochote hapo aje nimpe uzoefu
biashara cha kwanza inatakiwa ujue unawalenga kina nani? Yaani wateja wako kina nani, na kipato chao maana kuna pants hadi za 30k pisi moja na kuna pants za 1k pisi mojaDada wewe ni mpambanaji haswaaa.
Mimi naomba idea ya pants, kuuza chupi na tights tu. Ningependa nifungue mtaani (actually a busy street) kama wauza vipodozi wapo na wanauza nywele na vya kupaka. Je, chupi na hizo tights ntatoboa?
Kuna siku nilienda kumtafutia vyupi mamsapu wangu nikakuta muuzaji ana chupi za hadi sh 2,000 pale Kinyerezi pembeni ya Ikupa Supermarket. Tupe uzoefu kidogo.
Asante sanabiashara cha kwanza inatakiwa ujue unawalenga kina nani? Yaani wateja wako kina nani, na kipato chao maana kuna pants hadi za 30k pisi moja na kuna pants za 1k pisi moja
Kwa uzoefu wangu kuhusu pants hizi za bei chee zitakuchelewesha labda kama unapeleka kwenye minada au mikoani huko unaenda kuwasambazia kwa jumla lakin hasa minadani sawa yaani wewe monday to sunday unakuwa unazunguka minada lakin kama una hela yakueleweka fungua lengirie shop na unaweza anzia online
sawa mkuu komaa,Asante sana
Bei chee lengo ni kuwapata hao hao wa kipato cha chini. Masikini ndio wenye hela kuipata kwake ni rahisi, mimi naamini hivyo. Angalia bidhaa za MO. Cha kufanya wewe wape solution ya kinachowasumbua.
Chupi za buku 2 au tatu wanazimudu.
Idea ya Lingeria pia sio mbaya lakini.
GoodMimi binafsi naamini katika kuzalisha na kuuza kuliko kununua na kuuza, aheri ununue kisha uzalishe ndio uuuze.
Biashara ya kutegemea watu ngumu sana kwenye kuikuza hasa sisi watoto wa mama ntilieMimi binafsi naamini katika kuzalisha na kuuza kuliko kununua na kuuza, aheri ununue kisha uzalishe ndio uuuze.
Bila watu hatufiki popote ila watu wa aina gani hio ndio changamoto.Biashara ya kutegemea watu ngumu sana kwenye kuikuza hasa sisi watoto wa mama ntilie
oops sikuwa na maana ya kwamba hatuhitaji watu, nimeweka biashara za watu kwa ku maanisha kulangua kwa watuBila watu hatufiki popote ila watu wa aina gani hio ndio changamoto.
Lakini kwa mtazamo wangu mtu yoyote anayetaka kufika mbali awe mzalishaji na sio mlanguzi.
Wewe Jane Msowoya nimekupenda kweli hebu nipe ushauri nina kama 3ml, napenda sana biashara za kuzalisha mali, hasa vipodozi vya kina mama/dada, kama anti aging oils, scrubs, mpaka dawa za kuzuia ndevu kuota how could I start, nahisi I can do wonder!oops sikuwa na maana ya kwamba hatuhitaji watu, nimeweka biashara za watu kwa ku maanisha kulangua kwa watu