Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

Hivi pisi kali kitambaa cha shuka ukichukua mita 3 inatoa mashuka mangapi 7×6
 
Hapo unapata za aina zote?
wanaanza na Tops/blouse/T-shirt
wanakuja suruali/tight
wanakuja Skirts
wanafungua na Gauni

pale unakuta gauni mpya kama ya dukani ambazo kuna wenye maduka wanapoint pale

Ila pia uwe na nguvu ya kupigania
 
wanaanza na Tops/blouse/T-shirt
wanakuja suruali/tight
wanakuja Skirts
wanafungua na Gauni

pale unakuta gauni mpya kama ya dukani ambazo kuna wenye maduka wanapoint pale

Ila pia uwe na nguvu ya kupigania
Shukrani boss
 
wanaanza na Tops/blouse/T-shirt
wanakuja suruali/tight
wanakuja Skirts
wanafungua na Gauni

pale unakuta gauni mpya kama ya dukani ambazo kuna wenye maduka wanapoint pale

Ila pia uwe na nguvu ya kupigania
Wanaanzia Saa ngapi mkuu maana me jumatatu nikienda saa11 nakuta mzigo haujafunguliwa
 
Wanaanzia Saa ngapi mkuu maana me jumatatu nikienda saa11 nakuta mzigo haujafunguliwa
Wanaanza 12 nadhani mpaka saa 4/5 asubuhi unashuka na lile kinjia chenye kama ngazi hivi meza kama ya tatu
 
Hello wapendwa[emoji112]

Wale tunaopenda kujiajiri inatuhusu hii

Ideas tofauti[emoji1370]

Kama hauna mtaji

Unaweza kwenda kkoo ukachukua vitu kwenye maduka ya jumla ukapanga kwenye barabara then unapeleka hela ya bidhaa au kama hakijachukuliwa unarudisha, ili uaminiwe unaacha simu yako (sio maduka yote wanakubali) let say vibanio vya mapazia maua ya kupamba (ukizingatia ni msimu wa sikukuu) jumla unakuta vibanio vya mapazia 3,500 dukani reja wanauza 10,000 wewe unauza 8,000 kwa 9,000 unachukua faida yako unapeleka hela yao dukani ya bidhaa husika

Nyingine[emoji1370]

Unaweza kwenda kwenye maduka ya jumla ukapiga picha labda vyombo vya kisasa ukavipost kwenye social media (status/ig) mteja akikuagiza unamwambia atoe kwanza advance then ukimpelekea anamalizia ile advance yake ndio unaenda kununulia
Letsay vikombe vya udongo vizuri vya kisasa vinauzwa dozen 22,000 hadi 14,000 wewe unaongeza 44,000 au hata 40,000

Nyingine[emoji1370]

Kushonesha mapazia mashuka foronya

Vitambaa vya mapazia quality 11,000 hadi 10,000
Pazia la mita 2-5
Full
Unachukua mita 4 nzito au mita 3 unashonesha yanatoka mawili

Nyepesi nzuri bei 8,000 unakata mita 2 (16,000)

Ufundi pazia moja 2,000 kwa 3,000 kuweka urembo inategemea na unaouhitaji kuna wa 2,00@each/300 kwa 5,00

Kuuza unamuuzia mtu set kuanzia 85,000 to 150,000 tena ukitaka hela zaidi unatengenezA na curtains so dirisha moja unauza 250,000 (unachukua picha kweenye mitandao unapost
View attachment 1649438
View attachment 1649439
View attachment 1649440
View attachment 1649441
View attachment 1649442
View attachment 1649443

Foronya mita 6,000 kwa 10,000
Mita moja inaweza kutoa foronya hadi 10 it depends na size ya mito
Foronya za mito midogo kushona 1,000@each mito mikubwa 1,500 kwa 2,000 zipu 200 tu
View attachment 1649445
View attachment 1649446


Mashuka mita 5000/6,000 kwa 10,000

Shuka unakata mita 3 shuka linachukua mita 2 na foronya mbili kwenye mita moja

Kushona huko huko kkoo 2,000 kwa 3,000

Jumla kwenye 20,000

Wewe unauza 35,000
View attachment 1649447


Nyingine[emoji1370]

Kkoo kwenye maduka ya jumla ya lotions nywele (yanakopark daladala za mabibo manzese, opposite na msimbazi polisi) unaenda saa10 alfajir kuna watu wanakua hapo kila siku wanauza bidhaa kwa jumla, lotion ambazo zinazouzwa 15,000 unapata kwa 5,000 tu dawa za nywele, closures, nywele og na fake, muhimu kuwahi huo muda na uwe umechangamka


Nyingine[emoji1370]

Tafuta 50,000 au 100,000
Nenda karume alfajiri kunakuwa na mnada wa nguo za mabalo wanazofungua, lengesha macho yako vizuri
Unaweza kupata jeans kali zimesimama[emoji1362] kwa 3,000/5,000 nguo nzuri hadi buku tu tena zingine mpya

Mapochi mazuriiii 5,000 la 10,000 quality kabisaa hilo

Ukishapata mzigo wako unazipost kwenye social media mteja akihitaji unampelekea, au unapanga barabarani ushuru 2,000 tu au tafuta kitambulisho
Cha wamachinga 20,000 kwa mwaka

Tafuta sehem yenye watu kama kituo cha daladala, au unazipeleka kwenye minada kama bagamoyo wananunua vitu balaa

Nyingine[emoji1370]

Tafuta laki moja

Nenda Tandika vitambaa hadi 1,500 unanunua mita 2 kwa mita 3 unashona na mitandio yake, ufundi ukishona nguo nyingi 3,000 tu au 2,000 unaweza ukatumia 7,000 wewe ukaiuza hiyo nguo kwa 15,000 hadi 20,000 kushona huko huko tandika wanakushonea (madira tu au magauni simple mikono ndio unaweka mbwembwe) kama madela ya kkoo mengi wanashona hayatoki mombasa


Nyingine[emoji1370]

Nguo za harusi

Shela na suti, vitambaa manzese bei ni nzuri mnooo
Angalia kwenye mitandao aina tofauti za nguo chukua picha nenda manzese tafuta vitambaa waoneshe wauza maduka wanajua material nzuri na urembo (nakshi nakshi) kama wanaume suti full (suruali sana sana mita 1 au moja na nusu) inaweza ikachukua mita 3 ikizidi 3 na nusu tu kama kibonge 4+
Bei za vitambaa kuna vya 7,000, 14,000 vzr kabisa 20k kwa mita moja, unauza ama unakodisha haswa kuanzia june hivi sherehe nyingi

Pia mashela tengeneza dizaini tofauti hata kumi tu uwe unakodisha na kuuza, shela hadi kukamilika inaweza kukost 70k ikizidi 100k tu
Kitambaa inategemea na quality kuna cha 5,000 hadi 30,000 unamix vitambaa vya kawaida (cotton, hariri, satini) na lesi material
Ili shela lijae (cinderella) wengi wanaweka vitambaa vya neti shela linakua limejimwaga, unaweka urembo kama stones maua ua hivi, wengine wanapenda simple tu

It depends size, material (quality) unakodisha labda laki moja hivi, unazipost kwenye social media huku ukiwa karibu sana na wenye saloon
Hello!! Pisi kali, naomba unisaidie kunitajia lilipo chimbo LA hereni na mikufu ya kike,ambako bei zao ni rafiki sana ukiachana na zile za mchikichini msikiti wa mtoro,
 
Hello!! Pisi kali, naomba unisaidie kunitajia lilipo chimbo LA hereni na mikufu ya kike,ambako bei zao ni rafiki sana ukiachana na zile za mchikichini msikiti wa mtoro,

Duka liko ndani ndani kidogo ni pm nikutumie namba za wadukani umpigie akuelekeze lilipo

Ni kkoo wanapouza vitu vya urembo kwa jumla
 
Duka liko ndani ndani kidogo ni pm nikutumie namba za wadukani umpigie akuelekeze lilipo

Ni kkoo wanapouza vitu vya urembo kwa jumla
Mm maana ya pm hyo siijui dear, nitumie kwa namba hiii 0717447020, utakuwa umenisaidia sana aisee
 
Wakuu naomba kujua wapi naweza pata mitandio ya batiki kwa bei poa, pia viatu vya kike vya manyoya nikipata contact za muuzaji itakuwa vyema zaidi [emoji1431]
5376f0c9-2d1a-426e-9a17-c03c323b0002.jpg
 
Back
Top Bottom