Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

Wewe Jane Msowoya nimekupenda kweli hebu nipe ushauri nina kama 3ml, napenda sana biashara za kuzalisha mali, hasa vipodozi vya kina mama/dada, kama anti aging oils, scrubs, mpaka dawa za kuzuia ndevu kuota how could I start, nahisi I can do wonder!
Kwakuwa ni mweupe kabisaaa

Nenda sido kalipie 150k, usome namna yakutengeneza cosmetics
Ukitoka hapo ndo uje kwa kina sisi sasa safari iendelee
 
Asante sana
Bei chee lengo ni kuwapata hao hao wa kipato cha chini. Masikini ndio wenye hela kuipata kwake ni rahisi, mimi naamini hivyo. Angalia bidhaa za MO. Cha kufanya wewe wape solution ya kinachowasumbua.
Chupi za buku 2 au tatu wanazimudu.
Idea ya Lingeria pia sio mbaya lakini.
Mi nauza zote za 1000, ndo zinatoka sana kuliko za 3000 au 5000.Kwa mazingira niliyopo za buku buku ndo wengi.
 
Mi nauza zote za 1000, ndo zinatoka sana kuliko za 3000 au 5000.Kwa mazingira niliyopo za buku buku ndo wengi.
Naam mkuu, tusifichane.
Mimi niliandika vile kwa maana yangu. Kuna sehem kuna kabiashara kangu nafanya kimasikini sana na napata fedha nyingi.
On average wauza ngapi kwa siku?
Out of topic, uliwahi kuishi Ndanda Mkabasia?
 
Wewe Jane Msowoya nimekupenda kweli hebu nipe ushauri nina kama 3ml, napenda sana biashara za kuzalisha mali, hasa vipodozi vya kina mama/dada, kama anti aging oils, scrubs, mpaka dawa za kuzuia ndevu kuota how could I start, nahisi I can do wonder!

Kutokana na uzoefu wangu hapa

Anza kwa kusimama kati

Ukishatengeneza jina utauza chochote.. trust me ni ngumu sana sana kuingiza bidhaa ya mjasiriamali sokoni kwenye vipodozi kwa soko la Bongo..

Yaani wanunuzi Wengi wanapenda wasikie kitu kimetoka nje ya nchi Ndipo wanakiamini.

Mfano
Wix ni ya MTanzania lakini inatoka Nje ya Tanzania
Hii imempa Credit na anauza vizuri bidhaa zake .
 
Back
Top Bottom