Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Kwakuwa ni mweupe kabisaaaWewe Jane Msowoya nimekupenda kweli hebu nipe ushauri nina kama 3ml, napenda sana biashara za kuzalisha mali, hasa vipodozi vya kina mama/dada, kama anti aging oils, scrubs, mpaka dawa za kuzuia ndevu kuota how could I start, nahisi I can do wonder!
Mi nauza zote za 1000, ndo zinatoka sana kuliko za 3000 au 5000.Kwa mazingira niliyopo za buku buku ndo wengi.Asante sana
Bei chee lengo ni kuwapata hao hao wa kipato cha chini. Masikini ndio wenye hela kuipata kwake ni rahisi, mimi naamini hivyo. Angalia bidhaa za MO. Cha kufanya wewe wape solution ya kinachowasumbua.
Chupi za buku 2 au tatu wanazimudu.
Idea ya Lingeria pia sio mbaya lakini.
Na wewe unalanguaje ili uuze kwa hiyo buku? Tusaidie nasisi tuingie hukoMi nauza zote za 1000, ndo zinatoka sana kuliko za 3000 au 5000.Kwa mazingira niliyopo za buku buku ndo wengi.
Naam mkuu, tusifichane.Mi nauza zote za 1000, ndo zinatoka sana kuliko za 3000 au 5000.Kwa mazingira niliyopo za buku buku ndo wengi.
Wewe Jane Msowoya nimekupenda kweli hebu nipe ushauri nina kama 3ml, napenda sana biashara za kuzalisha mali, hasa vipodozi vya kina mama/dada, kama anti aging oils, scrubs, mpaka dawa za kuzuia ndevu kuota how could I start, nahisi I can do wonder!