Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe yanapatikana ya mtumba pia?
Mimi niko mkoani naweza pata mawasiliano ya muhusika yeyote unayemfahamu hapo tafadhali?
Blouse ndio mashati ya kike hivi mkuu yanapendwa hayaIlala sokoni saa 10 hadi saa12 alfajiri kila siku wanafungua mabalo ya nguo (jeans magauni nguo mchanganyiko) nguo hadi 1,000/500 nzuri tu
Nguo zinazouzika sana it depends na wateja wako kama watu wa makazini basi magauni sana, jeans pia zinauzika ziwe tu nzuri na bei inayoendana na hali ya nchi[emoji1][emoji1] affordable
Blouse pia, shifon nzuri nzuri ukiwahi asubuhi sana unakuta nguo nzuriii blouse unanunua hata jero na nzuri hatari wewe usiuzie tamaa, uza 5,000 au 3,000 tu
2,500 ni faida kubwa sana hapo ukiuza blouse kumi unafaida ya 25,000 per day (sio kila siku)
Mapochi pia
Njoo tuongezee na wangu wa laki 3asante sasa dada, ngoja nifanye hii nione na mtaji kama laki 3 hivi wa kutest hali siunafaa?
na mimi nasubiria jibu hapa,,nazihitaji kweli kweliHivi vitambaa vya mapazia ili ushoneshe vinapatikana mitaa gani dada
uko wapi ndugu? na wewe ulikuwa unatarget kufanya mtumba wa ngio za aina gani?Njoo tuongezee na wangu wa laki 3
Nasubir hili jibu + vitambaa za mito kama aliyopostHivi vitambaa vya mapazia ili ushoneshe vinapatikana mitaa gani dada
Hivi vitambaa vya mapazia ili ushoneshe vinapatikana mitaa gani dada
Kwa hiyo Pisikali naweza kuchukua kitambaa cha Mapazia na nikashona kwa mitindo kama Hiyo kwenye picha zako na je vitambaa vinapatikana maduka mitaa ipi
Shukrani sana mkuuMito, kuna vitambaa vya mapazia vya maneno such as gucci, i love you unakata unashona au plain
Vya maneno mengi vinapatikana kwa habby kkoo ukifika sokoni tahfif mtaa unaofatia ulizia kwa habby au wanapouza foronya hapo hapo mwambie nataka kitambaa unachagua unachotaka, ukitaka kushona hapo hapo au kwingine
Foronya kushona ni 1,000 zipu kuna za 2,00 kwa 5,00
Nb: wanakuangalia wakikuona wakuja UNAPIGWA!
[emoji120].kwaiyo unawaambia wakuuzie kwa bei ya jumla auSwahili na aggrey