Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Tupo pamoja Jumong ni Tathilia niliyoipenda sana hadi leo huwa naweka series zake naangalia, Kiujumla Tamthilia za wakorea kusini ni nzuri sana zinafundisha mambo muhimu ktk jamii