Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Nakumbuka DTV enzi izo siku za alhamisi kulikua na superman hata sijui kipindi kilikua kinaitwaje aisee yani nilikua napenda kuliko kitu kingine chochote...
 
1.The long wait ndani kuna amanda na lady butterfly sijui na yoranda

2. My internal

3. Loading.........
 
Hallo Wana JF,

Naomba mwenye kujua wapi pa ku-download tamthilia maarufu za kikorea, naomba anielekeze Website au aniwekee link hapa.

NAtanguliza Shukrani Wajameni.
 
Mimi tamthlia nnayoikubali ni "no greater love" "bridges of love" na ile ya "be careful with my heart"
 
mie ni mpenzi wa hizi tamthlia hasa "no greater love" "bridges of love".
Karibuni wakuu..!
 
Nilivyofungua huu uzi, nikajua labda utakuwa umeweka link ya kudownload hizo series.
 
Na mimi nikajua nakuja kupakua. No greater Love niliangalia mpaka mwisho ila hii mpya ya bridges of love inapoanza tulikuwa pamoja nikapatadharula wiki mbili sikuwepo nikajua nitadownload hizo nilizo zimiss.
 
Back
Top Bottom