Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Nimekaa nikaanza kuzikumbuka Tamthilia za zamani kwenye Tv zetu
1.Life Goes on
2.227
3.Fresh Prince of Bell Air
4.......
5........
endelea
Time traxCosby, family matter, renegady, pointman, bold and beautiful, acupulco bay, perfect strangers, la mujer de mi vida, la mujer de lorenzo, cuando seas mia, todo sobre camilla, tausi, mambo hayo, maisha, la revencha, rebecca, storm en la paraiso,
Days of our lives
Tausi hii nimengalia enzi zile hata TV za Tanzania zilikuwa bado hazijaanzishwa tulikuwa tunaangalia kupitia KBC
Mjuba,Mzee Kasri,Siti,Ashina,Jesca Brown,Lindi,Dama na wengine kibao
Jaman lind nilikua nampendaga
masatu na wenzio nadhani kuna mahali unatakiwa ufike uwaze vyema.hivi chama ni hawa akina slaa pekee ? Huu nadhani ni ugonjwa pekee uko ccm ambao wapinzani wanapashwa kubadilika na kudhani kwamba wasipo kuwepo wao kazi haitafanyika .
Now tuendelee na mjadala wa maana .mbona hujagusia haya yaliyo wekwa hapa ?mkataba wa richmond nitauweka hapa baadaye .
La mujer akina barbarita natamani kuiona tena enzi hzo nlikuwa o level,miaka inaenda kweli
Sumbi na bocha