Nakumbuka DTV enzi izo siku za alhamisi kulikua na superman hata sijui kipindi kilikua kinaitwaje aisee yani nilikua napenda kuliko kitu kingine chochote...
Na mimi nikajua nakuja kupakua. No greater Love niliangalia mpaka mwisho ila hii mpya ya bridges of love inapoanza tulikuwa pamoja nikapatadharula wiki mbili sikuwepo nikajua nitadownload hizo nilizo zimiss.